Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Asas hana cha ziada, zaidi ni hizo hela zake ulizokula wewe ni njaa inakusumbua huna lolote, ingefaa ugombee wewe ulete hayo maendeleo uyahubiriyo.
Hata mbuyu ulianza kama Mchicha. Kule Sudani yanayotokea ni kama haya mwanzo waafrika walikua kuwa Waarabu ni wenzao wakawakaribisha na kuishi nao wakati wao wanawapa dini Waarabu wanashika uchumi wa nchi na baadae Waarabu wakaanza kuonyesha ubaguzi wao wazi wazi. Waafrika bila kujitambua wanajuana wenyewe.
Hata Wakoloni walitutawala na kuuza Babu zetu kama matikiti maji Kwa sababu ya baadhi ya waafrika Wenzetu waliokua wanadhani kuwa Kupinga ufedhuli wa wageni ni ubaguzi kujipendekeza Kwa wazungu na Waarabu na kusaliti Uafrika wao Kwa misaada ya shanga na kaniki?
Hivi unawajua wahehe na Iringa yao au unahadaika na ujinga wa huyo jamaa?Umewahi kufika kipindi cha uchaguzi huko Iringa?Humjui muhehe wewe!Ona sasa, halafu anakuja mtu from nowhere anamkandia asas aliepo iringa wakati wana iringa wenyewe wanamkubali
1000 digits
Moisemusajiografii
Frank I Ritte
ALEYOMBA GEKKE, bakini na Chadema yenu huko huko mikoani mwenu sijui ni kaskazini ama wapi, mtajua wenyewe bandugu.
Kwahyo Mimi syo mhehe🤣 Sahz wahehe hatuchagui Hawa machix mox....ukirudi nenda pale Samora (eneo jipya la machinga) muulize chinga yyte yule kwamba hivi unafkr 2025 tumuweke Nani watakupa jibu,Hivi unawajua wahehe na Iringa yao au unahadaika na ujinga wa huyo jamaa?Umewahi kufika kipindi cha uchaguzi huko Iringa?Humjui muhehe wewe!
Na wewe hivyo unajua nini nimezungumza?Hivi unajua nini kimezungumzwa?
Nimesema watu aina ya Asas ambao wanauchungu na maendeleo ya Jimbo la IRINGA ambao Wana kiu yakuona thaman ya Ardhi inakuwa na inawavutia wawekezaji....syo mtu anashindwa kujenga hata ofs yake hivi kweli jaman
Nimetumwa na nani,? Hii ni kutokana na kutujali kwake ss wananchi wa Jimbo la IRINGA mjn tukaona siku akiwa mbunge atatujar zaidi, njoo iringa uulize akina mama na chinga yyte yule juu ya Asas atakwambia vile ni mwema na msaada kwetu...tumechoka kuwa na wabunge wasanii ukimuondoa jesca ambae kwa miaka 3 tu iringa mjn imependeshwa,...uzi huu nimeuleta kwasabu nilikeleka Sana na usanii wa wale wazungisha mikono, wamekaa miaka 10 hamna wakichokifanya.Huo uchungu wa Asas kwa iringa unaupimaje mkuu. Naona unaleta uchawa tu hapa. Au umetumwa kupima upepo?
Unajidanganya.Nasikia kuna mtu alimwagiwa mchanga baada ya kushindwa kuwatetea?😜Kwahyo Mimi syo mhehe🤣 Sahz wahehe hatuchagui Hawa machix mox....ukirudi nenda pale Samora (eneo jipya la machinga) muulize chinga yyte yule kwamba hivi unafkr 2025 tumuweke Nani watakupa jibu,
Unanichosha na hadithi za kipuuzi.Tulia.Mnamtengeneza mumpige hela huyo mtu wenu.Mnajulikana mbona.Hamfanyi jambo kwa hasara.Eti "Mpeni ASAS jimbo"!Huwa jimbo linagawiwa kama mapera ya Kitwiru?We endelea kusikia ss ndo tunaujua ukweli... hatutaki siasa za kitapeli za kuzungusha mikono
Unatabu Sana kamanda na huo ufkr hafifu...hebu Google hapo huyo mbunge wako wa ukawa alifanya Nini hapa Iringa mjn, ameshindwa kuchangia hata mbao za kujengea mabanda ya wamachinga...nyie chadema ni wahuni kabisa, nimeskia na mbeya nako eti mbunge ametoa kiwanja mwaka huu ili wajenge ofs imagine amekaa bungen miaka 10 yote Hana ofs ..kwendeni huko matapeli kabisaUnanichosha na hadithi za kipuuzi.Tulia.Mnamtengeneza mumpige hela huyo mtu wenu.Mnajulikana mbona.Hamfanyi jambo kwa hasara.Eti "Mpeni ASAS jimbo"!Huwa jimbo linagawiwa kama mapera ya Kitwiru?
Kwani alikwambia ana nia ya kugombea .ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Wewe amekusaidia nini.ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Kama ameleta maendeleo kwa fedha zake hakuna haja ya kugombea, ashirikiane na Mbunge Msambatavangu kuleta maendeleo zaidi kiyume na hilo ni kutafuta namna ya kurudisha fedha zake.Amenijengea mabanda ya wamachinga akatupa na mtaji wa biashara
Hajaanza leo kuleta maendeleo hata kipindi msigwa mbunge hakusta kutupa misaada mbalimbali kwahyo Kama ikimpendeza akigombea atapita kwa kishindo Sana...hapa mjn hata mtoto wa miaka 4 anajua wema wake maana Kama yy hajaguswa basi wazazi wake wameguswa na ameonaKama ameleta maendeleo kwa fedha zake hakuna haja ya kugombea, ashirikiane na Mbunge Msambatavangu kuleta maendeleo zaidi kiyume na hilo ni kutafuta namna ya kurudisha fedha zake.
Anzisheni furugu kama kawaida yenu, hakuna shida ila aliyeko na unayemtaka wewe wote hawafai.Ni maoni yangu nikilinganisha na utapeli tuliofanyiwa na yule mbunge wa ukawa maana yy kazi yake ilikuwa Ni kuzunguzisha tu wananchi mikono ameondoka Hakuna legacy aliyoiacha
Furugu ndo nn mkuu🤣🤣....kuliko wale matapeli wamekaa Iringa mjn miaka 10 wameshindwa kujenga hata ofs yao...mpaka Sasa wanatumia nyumba zao Kama ofs, hakuna walichokifanya hapa mjn Jesca kwa muda mfupi kazi inaonekana..wao ni kupitisha vilambo tu kuomba hela huku wanakula posho za ubunge, wali uddmiza Sana mji wetu...Anzisheni furugu kama kawaida yenu, hakuna shida ila aliyeko na unayemtaka wewe wote hawafai.
Kwani amekwambia anataka Ubunge au unamlazimisha.Hajaanza leo kuleta maendeleo hata kipindi msigwa mbunge hakusta kutupa misaada mbalimbali kwahyo Kama ikimpendeza akigombea atapita kwa kishindo Sana...hapa mjn hata mtoto wa miaka 4 anajua wema wake maana Kama yy hajaguswa basi wazazi wake wameguswa na ameona