Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Mkuu kuna huyu mwamba Mchungaji Peter Msigwa ana uwezo mkubwa kuliko wabunge wote wa mkoa Iringa, anajua kujenga hoja za kisomi 2025 tuende naye huyu anatufaa sana.Muulize mwenyewe ajitathmini atakupa jibu.
Ndiye huyohuyo mpenzi wa mashindano ya baiskeli mwenye kiwanda cha maziwa hapo Mandela road opposite na Sugar Ray Night club Dar.Asas huyu huyu jirani yangu hapa mikocheni kwa warioba nyuma ya mikocheni plaza au asas yupi?
Kwanini Jesca na Asas wawe matapeli wakubwa ndugu wamekukosea nini.MATAPELI WAKUBWA NYIE
Acha hasira ndugu au hujapata chochote kutoka kwao usiwategemee.MATAPELI WAKUBWA NYIE CHADEMA....Kiazi we!
Mbona tunakula hela za join the chain na ruzuku...maana nyie chadema kwa hela hamjambo... Hivi vile vilambo bado mnatumia? Ok sahz mpo na vifungashio kwasasa., Watu wanao jielewa hawawezi kuwapa hata KuraAcha hasira ndugu au hujapata chochote kutoka kwao usiwategemee.
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanaume sio jambo zuri, acha hii tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.MATAPELI WAKUBWA NYIE CHADEMA....Kiazi we!
Nyinyi mmekula hela za mzee wawatu Sabodo, mkala Join the chain, mkashindwa hata kujenga ofs, mmetuachia Jimbo Masikini, hata barabara moja ya lami hamna na mkakusanya hela kwenye mikutano na mkazunguzisha watu mikono🚮Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa hongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hela za wanaume wenzako uache tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi wanaopendaga haya mambo ni wanawake.
Kwahyo nyie chadema mnachagua kichwani🤣🤣🤣 kuwa vizuri kichwani alijenga barabara ngapi za mitaa? Kuwa vizuri kichwani ofs ya Jimbo alijengea wapi tukaione....nyie wanachadema mnakuwaga Kama mmelewa muda wote...Kama ww hv hata kusali umesali kweli au unahesabu hela za mkufuMimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanawake, acha tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida ni kwamba wewe unapenda kuhongwa hongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hela za wanaume wenzako uache tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi wanaopendaga haya mamboni wanawake.MATAPELI WAKUBWA NYIE CHADEMA....Kiazi we!
Ofisi mnazo nyingi na Mbunge Jesca yupo lakini unamtaka Salim Asas.Kwahyo nyie chadema mnachagua kichwani🤣🤣🤣 kuwa vizuri kichwani alijenga barabara ngapi za mitaa? Kuwa vizuri kichwani ofs ya Jimbo alijengea wapi tukaione....nyie wanachadema mnakuwaga Kama mmelewa muda wote...Kama ww hv hata kusali umesali kweli au unahesabu hela za mkufu
CHADEMA aisee hatutaki hata kuiskia.Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida ni kwamba wewe unapenda kuhongwa hongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hela za wanaume wenzako uache tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi wanaopendaga haya mamboni wanawake.
Ofisi mnazo nyingi na Mbunge Jesca yupo lakini unamtaka Salim Asas.
Kumbe Kuna matapeli ambao syo wazuri kichwani🤣Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanaume sio jambo zuri, acha hii tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.
Wenzako wenye mamlaka walizuia mikutano, wanachama wao wakasweka ndani, wengine wakapigwa risasi na walisalimu amri na sasa maridhiano wewe ni nani u zaidi ya Rais Samia.CHADEMA aisee hatutaki hata kuiskia.
Yah! nimeona sahz mpo na chopa..hv Kati ya chopa na ofs bora niniWenzako wenye mamlaka walizuia mikutano, wanachama wao wakasweka ndani, wengine wakapigwa risasi na walisalimu amri na sasa maridhiano wewe ni nani u zaidi ya Rais Samia.
Ndio, mmoja ni wewe mwenyekiti wako anaijua vizuri Chadema ila wewe unajifanya kichaa, kichaa wewe na hilo jimbo linaondoka.Kumbe Kuna matapeli ambao syo waziri kichwani🤣
Hiyo ni falsafa ambayo Nyumbu kama wewe hutaelewa, Nyumbu wewe!.Yah! nimeona sahz mpo na chopa..hv Kati ya chopa na ofs bora nini