Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Asas huyu huyu jirani yangu hapa mikocheni kwa warioba nyuma ya mikocheni plaza au asas yupi?
Ndiye huyohuyo mpenzi wa mashindano ya baiskeli mwenye kiwanda cha maziwa hapo Mandela road opposite na Sugar Ray Night club Dar.
 
Acha hasira ndugu au hujapata chochote kutoka kwao usiwategemee.
Mbona tunakula hela za join the chain na ruzuku...maana nyie chadema kwa hela hamjambo... Hivi vile vilambo bado mnatumia? Ok sahz mpo na vifungashio kwasasa., Watu wanao jielewa hawawezi kuwapa hata Kura
 
MATAPELI WAKUBWA NYIE CHADEMA....Kiazi we!
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanaume sio jambo zuri, acha hii tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.
 
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa hongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hela za wanaume wenzako uache tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi wanaopendaga haya mambo ni wanawake.
Nyinyi mmekula hela za mzee wawatu Sabodo, mkala Join the chain, mkashindwa hata kujenga ofs, mmetuachia Jimbo Masikini, hata barabara moja ya lami hamna na mkakusanya hela kwenye mikutano na mkazunguzisha watu mikono🚮
 
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanawake, acha tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.
Kwahyo nyie chadema mnachagua kichwani🤣🤣🤣 kuwa vizuri kichwani alijenga barabara ngapi za mitaa? Kuwa vizuri kichwani ofs ya Jimbo alijengea wapi tukaione....nyie wanachadema mnakuwaga Kama mmelewa muda wote...Kama ww hv hata kusali umesali kweli au unahesabu hela za mkufu
 
MATAPELI WAKUBWA NYIE CHADEMA....Kiazi we!
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida ni kwamba wewe unapenda kuhongwa hongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hela za wanaume wenzako uache tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi wanaopendaga haya mamboni wanawake.
Kwahyo nyie chadema mnachagua kichwani🤣🤣🤣 kuwa vizuri kichwani alijenga barabara ngapi za mitaa? Kuwa vizuri kichwani ofs ya Jimbo alijengea wapi tukaione....nyie wanachadema mnakuwaga Kama mmelewa muda wote...Kama ww hv hata kusali umesali kweli au unahesabu hela za mkufu
Ofisi mnazo nyingi na Mbunge Jesca yupo lakini unamtaka Salim Asas.
 
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida ni kwamba wewe unapenda kuhongwa hongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hela za wanaume wenzako uache tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi wanaopendaga haya mamboni wanawake.

Ofisi mnazo nyingi na Mbunge Jesca yupo lakini unamtaka Salim Asas.
CHADEMA aisee hatutaki hata kuiskia.
 
Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanaume sio jambo zuri, acha hii tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.
Kumbe Kuna matapeli ambao syo wazuri kichwani🤣
 
CHADEMA aisee hatutaki hata kuiskia.
Wenzako wenye mamlaka walizuia mikutano, wanachama wao wakasweka ndani, wengine wakapigwa risasi na walisalimu amri na sasa maridhiano wewe ni nani u zaidi ya Rais Samia.
 
Yah! nimeona sahz mpo na chopa..hv Kati ya chopa na ofs bora nini
 
Back
Top Bottom