Mimi sio Chadema ila nilimfatilia Mch.Peter Msigwa katika Bunge la 10 nikagundua kichwani yuko vizuri hata wewe unalijua hilo shida yako ni kwamba wewe unapenda kuhongwa kama mwanamke na hela za kukuhonga hana kwa hiyo nimegundua wewe unachoangalia ni yule mwanaume mwenye hela za kukuhonga ndiye unayemtaka hilo ndio tatizo lako, ujue we mwanaume na haya mambo ya kupenda kuhongwa hongwa hela za wanaume sio jambo zuri, acha hii tabia ya kupenda hela za wanaume wenzako acha tafuta zako uhonge uone kama ni rahisi, haya mambo ni ya wanawake achana nayo.