Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nipo hapo kwenye maziwa na sukari!Umetawaliwa na mawazo ya kimasikini kama waliyo nayo watu wa Morogoro mjini, Singida mjini wakati wa MO nk kwamba amayetoa misaada kwa ukwasi wake ndio anastahili ubunge badala ya kuja na mawazo endelevu.
Wenye akili wanahitaji mawazo endelevu sio msaada wa maziwa na sukari
Kweli?Hujanywa maziwa ukashiba komredi!Hao wenye akili wameathriwa na UMASIKINI kwahyo kuwa na mbunge ambae Ni msaada kwa jamii hii italeta afya zaidi ya maendeleo
Amekupa bei gani?ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Hawezi kupata wala usimdanganye, Iringa unaujua vzr?ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Iringa Manispaa ni Halmashauri inayoongoza miongoni wa nyinginezo zenye wingi wa udumavu.Mkuu una uhakika hauna vielement vya udumavu njoo uchukue lita 20 za maziwa ya assas hapa🤣
Igunga RostamAsipewe Ubunge Abaki Huko Huko Na Maziwa Yake, Mkimpa Tu Hana Jipya
Ulizeni Igunga Wakati Rostam Aziz Kuko Kawaida Sana
Itakuwa misada na si misaada.Misaada mingi syo maziwa tu
Ila we jamaa ww🤣🤣 aisee huu Uzi umekuja mida mibaya watu washalewaIringa Manispaa ni Halmashauri inayoongoza miongoni wa nyinginezo zenye wingi wa udumavu.
NB:Una uhakika haujashiba ulanzi wa barabara-mbili na bagia za stendi "komredi"?
Ubunge unatolewa kama fadhila?Asante?hii nchi ndio maana hatuendelei upuuzi mtupuASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Tagamenda, kijiji cha kwanza njia ya kwenda kidabaga ukitokea ipogoloHivi ni tagamenda, au witagaimienda?yaani unatupa nguo?
Kwahiyo umeingia deal na mtu usiye mjua!!!Kwanza hata jina simfaham mm nkajua ni assas kumbe ana jina lake.
Maziwa kwa UbungeASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Wewe uloyeleta uzi ndiyo unaonesha umeanza kulewa saa kumi na mbili pale Ipogolo kwa mama Shangambili.Ila we jamaa ww🤣🤣 aisee huu Uzi umekuja mida mibaya watu washalewa
... huyu si ndiye mwenye mgahawa fulani kule Dodoma CBD? Ndizi nyama 10,000? Huyu atatusaidia nini sisi maskini?ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.