Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ila amesaidia/anasaidia watu wengi Sana, niseme tu Mungu amubariki sana kwakweli.
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.

MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Akiwa mbunge hatatoa tena maziwa ya bure, bure aghali. Tunataka bunge lenye vichwa na sio bunge la mabwenyenye, mwache ASAS aendelee kututengenezea tamutamu.
 
Hayo Ni maoni yangu binafsi mkuu, hayo mengine siyafahamu
 
Msigwa apumzike kwanza aliiharibu Sana Iringa
Aliiharibu kivip? Embu fafanua? Aliwaingilia kinyume na maumbile ndo maana mkapachikiwa mwanamke au? Kama ni hivyo mbona hamkujinyonga! Kwa sasa naona unanadi kabisa mgunya(muarabu koko) Shauri yenu huko!mtajua wenyewe na wachungi wenu! By the way nna kademu pale ihemi mgama! Kape hi! Kaambie ntakatumia sangara! Kwan fikosh si inapita hapo kutokea mwanza
 
Nyie masela wachadema hamjawahi kuwa na akili sitahimilifu yani mpo juu juu tu hamjiamini🤣🤣....kuielewa chadema lazma uwe na kamentle kidogo si bure
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.

MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.

Wampe ubunge kama sehemu ya fadhila ama nini?
 
Mkuu kwema? Katupostie kisa kule entatainment! Kile cha mim na boss kilikuwa funiko! Mwache huyu mlugaluga tumpe za chembe mpaka atapike huo mtindi alio hongwa kutuletea upumbafu kiwango cha sgr!
Sasa huyo msigwa miaka yote mbona alituharibia tu mji wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…