Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kwa Sasa wewe Bado unaona tofauti ya CCM na Chadema wakati ni Chama koja kama ilivyo TANU na ASP.Hapo Sasa ni chuki inakutesa, wakati nyie chadema ni matapeli wakutupwa[emoji1] mmetudorotesha Iringa yetu sahz ingekuwa mbali Sana, baada ya kuona mmekwama kuhujum wa machinga kuhama mkaamua muondoke mjifanye mnaenda mikoa mingine kumbe mmeogopa kuchangia ujenz wa vibanda vya machinga mpaka asas alipojitolea kuwajengea
Sasa kiwanda si chake.. kiwanda kinaongozwa na sera ya ajira ambayo mmliki anapewa ...naww bwana unaroho ya chuki kumbe vitu kibao hujuiAkipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
Sasa kiwanda si chake.. kiwanda kinaongozwa na sera ya ajira ambayo mmliki anapewa ...naww bwana unaroho ya chuki kumbe vitu kibao hujuiAkipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
Nawewe tukupe tuzo mtetezi namba mbili wa waarabuSasa kiwanda si chake.. kiwanda kinaongozwa na sera ya ajira ambayo mmliki anapewa ...naww bwana unaroho ya chuki kumbe vitu kibao hujui
Sasa halmashaur iliyoongozwa na chadema miaka 10 yote ww ulifkr kutakuwa na jipya ...wao wenyewe hawana ofs loh!Hivi Kwa Sasa wewe Bado unaona tofauti ya CCM na Chadema wakati ni Chama koja kama ilivyo TANU na ASP.
Kwa Nini asasi ajenge vibanda kwenye Mji wenye master plan ya Ramani ya Mji. Huoni huo ni udhaifu mkubwa wa Watendaji na Halmashauri yako.
Halmashauri yenye maono makubwa inajenga masoko na stendi zake na vibanda kwenye maeneo yake halafu wanachukua Tozo milele.
Pumbavu sana wahuni.
Hao masikini ndo wamekaa miaka kumi iringa ikarudi nyuma miaka 20 hata barabara za mitaani vumbi... watanzania tunataka maendeleo syo kujisifia unajaza watu kwenye mikutanoKWANI MTU AKIWANYANYUA WATU LAZIMA AWE MBUNGE????????????
AWAACHIE MASIKINI NAO WAONJE KEKI YA TAIFA.
WATANZANIA ACHENI USHAMBA
Hahaaaaa kwahyo hela zetu wawe wanapigia picha na kuturushia watu wakiwa wanazungusha mikono na picha wakiwa wanaingia kwenye chopa....Taifa langu mm 😭.....mbunge anarusha picha za watu badala ya kurusha picha za alichokifanya jimbon kwakeUnataka wajenge ofisi ili ikusaidie nini wewe? CCM wana ofisi lakini kushinda uchaguza hawatumii ofisi zao bali wanatumia ofisi za umma hadi Polisi ma usalama wa Taifa.
Na wewe hivyo hivyoAmapesa inago ino uwubunge weki kangi, lakini letusindile uwanda ava mtwa
Jibu hoja, acha vitukoHahaaaaa kwahyo hela zetu wawe wanapigia picha na kuturushia watu wakiwa wanazungusha mikono na picha wakiwa wanaingia kwenye chopa....Taifa langu mm 😭.....mbunge anarusha picha za watu badala ya kurusha picha za alichokifanya jimbon kwake
Hivi unajua nini kimezungumzwa?Na wewe hivyo hivyo
Achana na ishu za ubaguzi Kuna watz wenzetu wapo inje huko wananafas kubwa wanapewa stahiki zote... ubaguzi ❌Akipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
Watanzania sio wabaguziAchana na ishu za ubaguzi Kuna watz wenzetu wapo inje huko wananafas kubwa wanapewa stahiki zote... ubaguzi ❌
Ila umeelewaWatanzania sio wabaguzi
Tukupe sasa tuzo ya mteteaji wa waarabu namba moja humu jamvini.
Bwana wako atakuwa proud sana
Waulize wenyewe wanapokubagua mmatumbi wanapata faida gani?Tangu umeanza kuwachukia umepata faida ipi? Kuwa na imani, acha roho mbaya na chuki.
Watanzania sio wabaguzi
Mtu mmoja akifanya ubaya ndio wote wabaya! Mbona huku wanabaguana kimakabila, wengine hukatana mapanga, kunyongana, kukatana viungo na ushenzi mwingi, so haya uyaonae ni sawa, au watanzania wote ni wabaya? Kwa sababu ya watu flani!!Waulize wenyewe wanapokubagua mmatumbi wanapata faida gani?