Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Vyawa mnatafuta matajiri wa kuwaganda muwale hewa?
Kwani usijitokeze wewe ukagombea?
Nigombee ili niwasaidie nn wananchi swala ni kuwa na wakilishi wenye kipato syo matapeli hawa wamekaa miaka 10 hakuna wakichokifanya
 
Hapo Sasa ni chuki inakutesa, wakati nyie chadema ni matapeli wakutupwa[emoji1] mmetudorotesha Iringa yetu sahz ingekuwa mbali Sana, baada ya kuona mmekwama kuhujum wa machinga kuhama mkaamua muondoke mjifanye mnaenda mikoa mingine kumbe mmeogopa kuchangia ujenz wa vibanda vya machinga mpaka asas alipojitolea kuwajengea
Hivi Kwa Sasa wewe Bado unaona tofauti ya CCM na Chadema wakati ni Chama koja kama ilivyo TANU na ASP.

Kwa Nini asasi ajenge vibanda kwenye Mji wenye master plan ya Ramani ya Mji. Huoni huo ni udhaifu mkubwa wa Watendaji na Halmashauri yako.

Halmashauri yenye maono makubwa inajenga masoko na stendi zake na vibanda kwenye maeneo yake halafu wanachukua Tozo milele.
Pumbavu sana wahuni.
 
Akipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
Sasa kiwanda si chake.. kiwanda kinaongozwa na sera ya ajira ambayo mmliki anapewa ...naww bwana unaroho ya chuki kumbe vitu kibao hujui
 
Nawewe tukupe tuzo mtetezi namba mbili wa waarabu
 
Hivi Kwa Sasa wewe Bado unaona tofauti ya CCM na Chadema wakati ni Chama koja kama ilivyo TANU na ASP.

Kwa Nini asasi ajenge vibanda kwenye Mji wenye master plan ya Ramani ya Mji. Huoni huo ni udhaifu mkubwa wa Watendaji na Halmashauri yako.

Halmashauri yenye maono makubwa inajenga masoko na stendi zake na vibanda kwenye maeneo yake halafu wanachukua Tozo milele.
Pumbavu sana wahuni.
Sasa halmashaur iliyoongozwa na chadema miaka 10 yote ww ulifkr kutakuwa na jipya ...wao wenyewe hawana ofs loh!
 
KWANI MTU AKIWANYANYUA WATU LAZIMA AWE MBUNGE????????????

AWAACHIE MASIKINI NAO WAONJE KEKI YA TAIFA.

WATANZANIA ACHENI USHAMBA
Hao masikini ndo wamekaa miaka kumi iringa ikarudi nyuma miaka 20 hata barabara za mitaani vumbi... watanzania tunataka maendeleo syo kujisifia unajaza watu kwenye mikutano
 
Unataka wajenge ofisi ili ikusaidie nini wewe? CCM wana ofisi lakini kushinda uchaguza hawatumii ofisi zao bali wanatumia ofisi za umma hadi Polisi ma usalama wa Taifa.
Hahaaaaa kwahyo hela zetu wawe wanapigia picha na kuturushia watu wakiwa wanazungusha mikono na picha wakiwa wanaingia kwenye chopa....Taifa langu mm 😭.....mbunge anarusha picha za watu badala ya kurusha picha za alichokifanya jimbon kwake
 
Jibu hoja, acha vituko
 
Akipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
Achana na ishu za ubaguzi Kuna watz wenzetu wapo inje huko wananafas kubwa wanapewa stahiki zote... ubaguzi ❌
 
Waulize wenyewe wanapokubagua mmatumbi wanapata faida gani?
Mtu mmoja akifanya ubaya ndio wote wabaya! Mbona huku wanabaguana kimakabila, wengine hukatana mapanga, kunyongana, kukatana viungo na ushenzi mwingi, so haya uyaonae ni sawa, au watanzania wote ni wabaya? Kwa sababu ya watu flani!!

ALEYOMBBA GEKKE acha ubaguzi, roho mbaya na wivu, mwanaume mzima unakua na wivu na chuki huoni aibu mzee
 
Back
Top Bottom