Wanaonunua kariakoo ni haohao waswahili...nenda kariakoo kama hujakuta Karibia Kila frem Ni ya mswahili kama sio mwarabuWangekuwa wajanja wasingeuza nyumba zao kariakoo wakakimbilia uswazi kuishi kama bata bukini
Aliyekutuma kamwambie umebeu.NImepitia nyuzi Zote 23 na comment zaidi ya 3600 naomba niseme ndugu zangu wa kanda ya ziwa ndoto ya kutoa raisi imekufa hivo tuendelee kumuunga mkono mama .
2)Kama mama ameeleweka Vema lengo lake ni kurejesha Chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba Chama sasa kiko mikono salama ,
3nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" ben voice jioni njema
Naona Moja la Magharibi ya Mbali katoka Nchimbi nilisema kuna Mabadiliko bado Makatibu wanne
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA
Mshamba mwengine anadhihirisha...Ulishaona wapi wenyeji wakakaa kwenye ktk ya jiji?? Utembee kidogo duniani utoe tongotongo au miwani ya mbao hiyo??Wangekuwa wajanja wasingeuza nyumba zao kariakoo wakakimbilia uswazi kuishi kama bata bukini
Comment ya kipumbavu kabisa!Hii nchi washamba hawawezi kuwaongoza wajanja wa pwani hata siku 1...wahaya,wanyakyusa,wachagga Na wakurya Ni wajanja kwenye kulima mashamba ila tukija kuongozwa Ni kama ng'ombe Tu Mbele ya waswahili..
Ndomaana lugha ya taifa Ni Kiswahili sio kisukuma
Haujui siasa ndio maana unaandika hivi, experience nini kinaweza tokea kwenye siasa, ni Bora kuacha kuhamasisha siasa za namna hii, manufaa yake ya muda mfupi sana....NImepitia nyuzi Zote 23 na comment zaidi ya 3600 naomba niseme ndugu zangu wa kanda ya ziwa ndoto ya kutoa raisi imekufa hivo tuendelee kumuunga mkono mama .
2)Kama mama ameeleweka Vema lengo lake ni kurejesha Chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba Chama sasa kiko mikono salama ,
3nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" ben voice jioni njema
Naona Moja la Magharibi ya Mbali katoka Nchimbi nilisema kuna Mabadiliko bado Makatibu wanne
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA
Acheni ukabila.Kanda ya Ziwa tuko imara tuna jambo letu 2025 mtashangaa
Thread ya kipuuzi kama hii inaleta ukanda kwenye taifa letu, wote wenye tabia chafu kama ya mleta mada wakemewe kwa nguvu zote.
[mention]Moderator [/mention],
Labda uzi hauna shida lakini kuna coments zinahitaji umakini...
Ukabila ni sumu.
Undeni nchi yenu!Kanda ya Ziwa tuko imara tuna jambo letu 2025 mtashangaa
Wee Jamaaa umeamua kuttukana watu modes watu kama hawa mnawangalia halafu wale wanatoa koment za mshikamano mnafuta mada zao. Huyu ndy baadhi ya Wajinga waliopo kwenye nchi...idiotic coment from it!!Hii nchi washamba hawawezi kuwaongoza wajanja wa pwani hata siku 1...wahaya,wanyakyusa,wachagga Na wakurya Ni wajanja kwenye kulima mashamba ila tukija kuongozwa Ni kama ng'ombe Tu Mbele ya waswahili..
Ndomaana lugha ya taifa Ni Kiswahili sio kisukuma
[mention]Moderator [/mention],
Labda uzi hauna shida lakini kuna coments zinahitaji umakini...
Ukabila ni sumu.
Ccm ilikosea kumuweka jiwe madarakani, ndo ameasisi ukabila ivyo
Hili ndilo wazo la kufanyia kazi sasaUndeni nchi yenu!
Nyinyi ndo wakabila hamkumpenda kwa kuwa hamkupenda kabila lake!Ccm ilikosea kumuweka jiwe madarakani, ndo ameasisi ukabila ivyo
NImepitia nyuzi Zote 23 na comment zaidi ya 3600 naomba niseme ndugu zangu wa kanda ya ziwa ndoto ya kutoa raisi imekufa hivo tuendelee kumuunga mkono mama .
2)Kama mama ameeleweka Vema lengo lake ni kurejesha Chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba Chama sasa kiko mikono salama ,
3nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" ben voice jioni njema
Naona Moja la Magharibi ya Mbali katoka Nchimbi nilisema kuna Mabadiliko bado Makatibu wanne
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA
Huyo Bibi yenu mwisho 2025NImepitia nyuzi Zote 23 na comment zaidi ya 3600 naomba niseme ndugu zangu wa kanda ya ziwa ndoto ya kutoa raisi imekufa hivo tuendelee kumuunga mkono mama .
2)Kama mama ameeleweka Vema lengo lake ni kurejesha Chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba Chama sasa kiko mikono salama ,
3nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" ben voice jioni njema
Naona Moja la Magharibi ya Mbali katoka Nchimbi nilisema kuna Mabadiliko bado Makatibu wanne
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA
Mtakuja na Zumaridi?Kanda ya Ziwa tuko imara tuna jambo letu 2025 mtashangaa
Mungu anaipenda nchi yetu, aliruhusu dictator aingie madarakani ili watu waamuke.Achana na ngonjera
Mkuu BRITANICC naomba ututake radhi watu wa Kanda ya ziwa,Mimi ni mtu wa Kanda ya ziwa lakini namuelewa Sana mama.Kwa hiyo unapokuwa unaandika post usiwe unajulisha wote.Tupo sisi wengine ni WA Kanda ya ziwa lakini ni Wa umini wa Democrasia ,haki na hoja. CCM ya awamu ya tano haikuwa na hoja bali ubabe tu.#2025 kazi iendelee#NImepitia nyuzi Zote 23 na comment zaidi ya 3600 naomba niseme ndugu zangu wa kanda ya ziwa ndoto ya kutoa raisi imekufa hivo tuendelee kumuunga mkono mama .