Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

Ni Upuuzi uliopitiliza

As a Party Mnagombana wenyewe....; As a Nation tunagombania Ukanda / Ukabila

No wonder hatuendelei wala hatuhitaji mtu kutu-divide ili aweze kutu-rule bali tunajigawa wenyewe kwa kugombania makombo wakati keki inaliwa na wachache...
 
Ww subirini kuna chuma kitakuja kuchukua nchi mtalima kwenye lami na mlivo wazembe mmejaa majungu mtakoma
 
Wewe unanuka ukabila
 

Uko sahihi kabisa, kuna huyu mshamba wa juzi wa chattle kapewa nchi kaanza kutawala kwa kuendekeza siasa za kihanithi, anajifanya mjuaji yeye,hayuko tayari kukosolewa, bado alikuwa na mitazamo ya kizamani nchi kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa shuruti. Saa hii majizi ya mjini yanarudi kwa kasi. Tunaona ni bora tu ila watuachie tupige na sisi kwa urefu wa kamba zetu. Hatutaki tena uzalendo uchwara wa kutawaliwa kwa kuburuzwa na washamba.
 
Nimegundua wasukuma tuna nguvu sana, na hapo bado hatuja changamka vizuri. Great Lake zone,
 
SUKUMA
SUKUMAPHOBIA.
 
Ukanda ni propaganda za kipumbavu kabisa.

Kwanini kajenga flyovers, barabara 6 toka ubungo hadi mlandizi, Hospital kila mkoa, stendi kuu ya mkoa Mbezi mwisho, treni ya umeme, bara bara mitaa ya Dar, kota za Askari magereza, stendi za kisasa kila mkoa?

Acheni upumbavu na Moderators kama mnatutafutia kutufungia akaunti zetu mseme, maana hii mada ni ya kijinga sana inayochochea ukabila na ukanda.

Tunaelewa vizuri sana mleta mada ni mtu wa kwenye system lakini hana uhalali wa kuleta pumba kama hizi hapa JF [emoji34][emoji57]
 
Ndugu yangu hii Lugha sio nzuri kabisaa. jaribu kutumia busara ili kulinda amani na utulivu. Somalia ilianza hivyo hivyo wakati wa Siad bare sasa hivi hapakaliki!
 
Awamu ya tano,kaskazini walilalamika kwa kuwa mtawala aliyekuwepo alifanya kila hali kupunguza tabia ya upendeleo waliyokuwa nayo kwenye fursa serikali. Wakalalamika na kuhisi walilokuwa wanafanya ni sahihi. Wakamshambulia kwa kejeli na kabila lake na kunung'unika. Mtawala nae akafanya kosa hilo hilo kwa kuweka upendeleo kwa watu wa kanda ya ziwa kwenye fursa na nafasi za uongozi serikali. Nao wakafurahia na kuhisi ni sahihi na haki yao. Wakabeza na kutukana wengine kwa dini na makabila yao.

Nashukuru awamu ya sita imeamua kuruhusu haki itawale na fursa kwa kila Mtanzania bila kujali dini,kabila au kanda yake. Endelea kufanya marekebisho Mama Samia, mwisho wa siku kila mtu atakuelewa.
 
Usiseme Kanda ya Ziwa, Sema sukuma Gang a.k.a Waburundi

Kanda ya Ziwa kuna Wahaya, Wajita, Wakurya na Wajaluo na hawana tatizo lolote!

Ni wapuuzi wachache wengi wao wanajiita Wasukuma Ila asili yao ni Burundi na Rwanda
Hapa umepiga kwenye mshono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…