Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

Wee Jamaaa umeamua kuttukana watu modes watu kama hawa mnawangalia halafu wale wanatoa koment za mshikamano mnafuta mada zao. Huyu ndy baadhi ya Wajinga waliopo kwenye nchi...idiotic coment from it!!
Ukweli unauma..siku zote mti wenye matunda ndio hupondwa
 
Britannica,ni kipindi gn wana ccm walikuwa wakizomewa wakipita wamevaa nguo za kijani?, sio kipindi cha katibu mkuu kinana na mwenezi Nape? Leo unapata wapi ujasiri wa kusema watu wenye ueledi?
 
Usiseme Kanda ya Ziwa, Sema sukuma Gang a.k.a Waburundi

Kanda ya Ziwa kuna Wahaya, Wajita, Wakurya na Wajaluo na hawana tatizo lolote!

Ni wapuuzi wachache wengi wao wanajiita Wasukuma Ila asili yao ni Burundi na Rwanda
Wala magufuli hakuwa kipenzi cha watu wa kanda ya ziwa tu,nenda moshi alikuwa akipokelewa na matawi,tuombe uzima,
 
Sasa hivi udini umekithiri.
 
Wote mwisho wetu ni kifo.., uwe lofa an uwe Tajiri mwisho wa siku wote ni chakula cha udongo..,
 
Kanda ya ziwa mama bado hawajakubali kama ni Rais, pamoja na kujiita Hangaya Chief wa kisukuma lakini bado hawajampenda.

2025 ataendelea kuwa Rais kwa kutumia dola lakini hawezi kufeel ile legitimacy. Hakubariki kwa kweli.
Kwani Malaika wa Chato hakuwa Rais kwa kutumia dola?
 
Sasa hivi udini umekithiri.
Kwa sababu mlizoea kila anayeteuliwa na Marehemu lazima awe wa dini yake..mkaona yupo sahihi. Kwa sasa kila dini,kabila au kanda zina fursa sawa.

Mazoea ni mabaya..walilamika sana wachaga kwa ajili ya dhambi zao za upendeleo wa kikabila,na sasa ni nyinyi Bhaghosha. Inasikitisha sana.
 
Mtafanyaje sasa. Option pekee mliyonayo ni kupigia kura upinzani tu. Lakini kupindua chama mbele ya born town hamuwezi


Osama alimpiga mmarekani september eleven kwa nail cutter…sasa sijui hao born town akili zao zinamfikia mmarekani kwa asilimia ngapi
 
Thread kama hii zinaletwa na watu wasiompenda Samia. Lengo lao kubwa ni kumchonganisha na makundi fulani ya watu ili kumpumguzia uungwaji mkono. Huyu mtu ana lengo la kumchonganisha na kanda ya ziwa, akijua kabisa kuwa hiyo kanda ni most populated area ya tanzania na ina wapiga kura wengi. Samia anapaswa kuwa smart ili asi-play in their tactics.
 
Niliamini (na hata bado naamini) Jf ni jukwaa la watu wenye fikra yakinifu na zenye akili kubwa na ndio maana nikaamua kujiunga.
Ila, kwa fikra kama hizi; napata mashaka kama kweli ni great thinker au vinginevyo! 🤔
 
Tutafuta Rais mshamba tena.
 

Kanda ya ziwa huwa hawana tamaa ya madaraka bwashee km nyie waswahili washamba wa mali….wao ni wachapa kazi wanaheshimu kazi na kula kwa jasho lao…

Kanda ya ziwa ni watumishi waadilifu…wanaumia tuu wakiona wananchi wanaumizwa na mafisadi…ila tamaa za uongozi hawana…huwa zinawaangukia tu Mwenyezi Mungu akisema imetosha wananchi nao wapate mtu wakuwaona…

Nyerere aliwahi kusema muogopeni mtu anaetamani kuingia Ikulu kwa nguvu zote…kuna watu kila kukicha wanaota uraisi mpaka wanapambana watoto wao wawe maraisi wakati wanajua uwezo hawana….pathetic
 
Thread ya kipuuzi kama hii inaleta ukanda kwenye taifa letu, wote wenye tabia chafu kama ya mleta mada wakemewe kwa nguvu zote.


Chawa wa Msoga huyu anabwabwaja…anafurahi gang imeingia madarakani…kavimbiwa…anakuja kutapikia huku
 
Mtafanyaje sasa. Option pekee mliyonayo ni kupigia kura upinzani tu. Lakini kupindua chama mbele ya born town hamuwezi
Wacha ujinga, hao born town maji yaliwafika shingoni 2015 mpaka jpm akabaki karata yao ya mwisho ambaye alikirudisha chama kwenye ramani.Hao mangedere na manyani waliorudi kuvamia shamba ndio mnawaita ma born town,inahitaji kuwa hayawani kushabikia ujinga huo.
 
Unajua kabila la kinana??
 
Wapumbaf kama wewe ndio mnaenda kumchonganisha huyu mama na kanda ya ziwa.ulivyo mpumbaf unafikiri ukizungumzia kanda ya ziwa unazungumzia wasukuma peke yake.
Wakati ndio utakaotoa majibu,kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…