Mimi Ni great thinker dada....as a matter of fact nina degree mbili.Niliamini (na hata bado naamini) Jf ni jukwaa la watu wenye fikra yakinifu na zenye akili kubwa na ndio maana nikaamua kujiunga.
Ila, kwa fikra kama hizi; napata mashaka kama kweli ni great thinker au vinginevyo! 🤔
Una akili ndogo kama wale jamaa zako wa tume ya mavi ya ng'ombeMimi Ni great thinker dada....as a matter of fact nina degree mbili.
Ya Astrophysics Na neuroscience
Hii nchi washamba hawawezi kuwaongoza wajanja wa pwani hata siku 1...wahaya,wanyakyusa,wachagga Na wakurya Ni wajanja kwenye kulima mashamba ila tukija kuongozwa Ni kama ng'ombe Tu Mbele ya waswahili..
Ndomaana lugha ya taifa Ni Kiswahili sio kisukuma
Kwahyo nyie walima mahindi wa nzega ndiyo ma great thinkers??Una akili ndogo kama wale jamaa zako wa tume ya mavi ya ng'ombe
Hakuna great thinker atakuja na reference kama ya kwako
Nani alikwambia ukisoma sana ndio unakua great thinker!!!?
Ni ushamba tu huna lolote
Hebu tupishe sisi watoto wa mjini tule bata . Kama humtaki ni wewe na genge la washamba wenzako.ila akae akijua hiyo nafasi hatoshi kaja kwa bahati mbaya,
hatumtaki
Endelea kuota.Ww subirini kuna chuma kitakuja kuchukua nchi mtalima kwenye lami na mlivo wazembe mmejaa majungu mtakoma
Sawa Tu wacha wapeane nafasiNImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.
2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa Kinana katika kukijenga chama? Mama ameeleweka vema sana kwamba chama sasa kiko mikono salama.
3) Nimalize kwa kusema CCM ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo kama kuna mtu au watu wanadhani siku moja itakufa watakufa waoo" WAPUMBAVU MALOFA" in Ben voice, jioni njema.
Naona moja la Magharibi ya mbali katoka Nchimbi nilisema kuna mabadiliko bado Makatibu wanne.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
BRITANICCA
Halafu cha ajabu walikuwa wanafurahia na kushangilia kabisa kama sio wanadamu hivi.Enzi za Magu wapinzani waliteswa sana. Sukuma gang pateni experience ya mateso kidogo
Leteni dharau maaana mmeshiba chakula tunacholimaWewe ngosha unajua Nini tofauti Na mbegu Za mahindi?
Kwa tume ipi ya uchaguzi?Kwa kanda ya ziwa ccm ijiandae kuumia hasa upande wa majimbo na madiwani..picha litaanza uchaguzi wa wenyeviti.
Mana kanda yaziwa ni mwiko mwanamke kuongoza ni kama laana kwao.
#MaendeleoHayanaChama
Awe ana fafanua vizuriUsiseme Kanda ya Ziwa, Sema sukuma Gang a.k.a Waburundi
Kanda ya Ziwa kuna Wahaya, Wajita, Wakurya na Wajaluo na hawana tatizo lolote!
Ni wapuuzi wachache wengi wao wanajiita Wasukuma Ila asili yao ni Burundi na Rwanda
Sema wewe ndio hujakubali. Wananchi wameshakubali.Kanda ya ziwa mama bado hawajakubali kama ni Rais, pamoja na kujiita Hangaya Chief wa kisukuma lakini bado hawajampenda.
2025 ataendelea kuwa Rais kwa kutumia dola lakini hawezi kufeel ile legitimacy. Hakubariki kwa kweli.
Sijawahi kumuona akienda msikitini huyu mtu kama viongozi wenzake au yeye apendi coverage akiwa huko?.
Na mkivuna Sisi ndo madalali tunaokuja kuwapangia beiLeteni dharau maaana mmeshiba chakula tunacholima