Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa.
Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie mkionekana mmeingia na basi likiwa tupu halina wachezaji halafu mnapenda sana kupita milango isiyo rasmi, nyie hamuoni kuwa tunapata wasiwasi na ushindi wenu.
Soma Pia:
Toeni ufafanuzi wazee kwanini wakati nyie mna timu nzuri lakini mnaingiza basi likiwa tupu halina wachezaji halafu wachezaji wanapandishwa magari mengine huku mkifika uwanjani mnaingia mlango mwingine tofauti na ule wa wenzenu ambao kikawaida kila timu huwa inaingilia.
Jana, kwa kweli ilikuwa kali, goli la Dube lile ukiangalia vizuri wamejifunga, Boca wamejifunga, Aziz Ki akajifunga Bangala labda la nne ndio halikuwa la kujifunga.
Mkiendelea kukaa kimya watu wataendelea kuwa na mashaka na nyie na wataamini mnashinda kwa nguvu za giza, wekeni wazi jamani

- Aliyewafungulia Yanga mlango usio rasmi amechukuliwa hatua gani mbona kila mwaka wanafanya hivyo
- Yanga SC jana waliingia uwanjani na wachezaji wa nne kwenye basi lao lakini timu nzima ikaingia na coaster, kitaalamu imekaaje?