Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Halafu unakuta anaoa mwanamke used ambaye wanaume wengine wamejipigia kwa chips kavu.

Mwanamke wa kutolewa mahari ni yule aliyejitunza tu na mahari haivuki laki tano maana haumnunui bali mnaenda kujenga familia ya pamoja.
 
Hiyo ni hela ndogo.

Mantiki ya mahari ndio tatizo. Ila kiwango cha pesa sio tatizo

Aliyetoa 100M na aliyetoa 1M wote ni sawa.
Sema mmoja ni maskini mwingine ni tajiri

Mwanamke mmoja anathamani kubwa mwingine thamani ndogo.
 
Hizo ng''ombe maybe kuiga jamii zingine Ila kuna vitu vipo sahihi,

Hata hiyo cret ya beer ni usasa ambapo kuna beer ..... Huwezi weka beer na mbege kimoja kinatosha

Mbuzi wa kufunga mlango na wa bruh imetosha mengine mbwembwe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…