Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

Status
Not open for further replies.
Siamini kama hili andiko murua kaandika muislam.
Nimejaribu kufukua post zako za nyuma, jamaa hujihusishi na mijadala ya dini kabisa hivyo nimeshindwa kutambua dini yako.
kama kweli wewe ni muislam, basi ndio wa kwanza kukuona unayejitambua.
 
Ama kwa hakika wewe ni Mkristo. Kukosa kwako busara kwenye komenti yako kunathibitisha how much of a Christian ur.

Unaweza vipi ku show disrespectfulness kwa watu wa imani tofauti na yako kiasi hicho?

Wise up bro

Siamini kama hili andiko murua kaandika muislam.
Nimejaribu kufukua post zako za nyuma, jamaa hujihusishi na mijadala ya dini kabisa hivyo nimeshindwa kutambua dini yako.
kama kweli wewe ni muislam, basi ndio wa kwanza kukuona unayejitambua.
 
Tuache unafiki wenzetu upande wa Phd na Dr wametuacha hatua kidogo ukitaka kuliamini hili angalia mikutano ya rais akikaa na viongozi wa dini namna ya uchangiaji mada. Nakazia kama mtoa mada sijasema waislam hatujasoma
 
Tuache unafiki wenzetu upande wa Phd na Dr wametuacha hatua kidogo ukitaka kuliamini hili angalia mikutano ya rais akikaa na viongozi wa dini namna ya uchangiaji mada. Nakazia kama mtoa mada sijasema waislam hatujasoma
BAKWATA ni sawa ila sio waislamu.
 
Umeongea ukweli! hizi taasisi nyingi waumini hawatetei dini kazi kupambania vyeo na kufanya uwizi hamna cha maana ..

Watu wenye akili wengi wamejitoa hawahusiki na taasisi ila wanasaidia watu maskini sio kufanya uwizi na uroho wa madaraka.
Ni aina mbili ya watu aidha umuogope Mungu kwa dhati au wanafiki wanaojifocha kwa kujionyesha wana hofu ila ni majizi

Kweli kabisa bora kusaidia wanaohitaji kwa mali zako za halali na kuwa na hofu ya Mungu

Watu wanaona utajiri duniani ndio nguvu wapo wanadiriki na kusema eti kanisa la Roman lina nguvu baada ya serikali tu sasa unajiuliza je zote ni halali?
 
TEC wakosolewe kwa Hoja sio kwa mipasho!
 
Kwa Elimu ipi ajuza, nyie ambao mnakataza wanawake wasisome shule na hapo wanahitaji madaktari wa kike wazalishe wake zao.
Anasema mtume👇

"Yeyote atakayewalea mabinti wawili hadi wakakua, yeye na mimi Siku ya Kiyama tutakuwa kama hivi. (Akaonesha vidole vyake viwili iii kupigia mfano watakavyokuwa karibu sana huko Peponi).


Lengo Ia mafundisho haya ya Mtume (s.a.w) ni kuwaondosha watu katika zile fikra dhaifu za kuwaona watoto wa kike kama kwamba si watu. Na katika Hadith nyingine iliyosimuliwa pia na Ahmed, Mtume (s.a.w) amesema: Yeyote ambaye amemzaa binti, na hakumzika yungali hai, na hakumtukana au kumkashfu, na hakumpendelea mtoto wake wa kiume zaidi kuliko huyo wa kike, Allah atamuingiza Peponi. (Ahmad)


Zaidi ya mafundisho haya Mtume (s.a.w) alionesha mfano katika maisha yake mwenyewe, kwa kuwaheshimu na kuwatendea vizuri binti zake, kiasi ambacho aliwahi kusema juu ya binti yake, Fatma; "Fatma ni sehemu yangu mimi, furaha yake ni yangu, na ghadhabu zake ni uchungu wangu ".
 
Itakuwa hujanielewa kilichosemwa mkuu , ongeza kufikiria walioalikwa viongozi wa dini kwa waislamu huwa wanaenda akina nani? This is public
Kwamba hamna waislamu wenye PhD ? Pia angalia walioko kweny system na wale ambao hawajulikani kabisa..
 
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI...
Hili suala ni zaid ya ulijuavyo p1 na kasoro zilizopo lkn haya majamaa kamwe hayatokua radhi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…