Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

Status
Not open for further replies.
Kama TEC hawakutoa tamko kwenye hiyo mikataba mingine wewe si unge toa tamko kwenye iyomikataba mingine.


Jadili hoja mkuu acha udini.
 
Ni lini mikataba iliwekwa wazi nchi hii
😆😆Sema wewe haufatilii issues, uko zako busy na ustar Mh. Mapensho. Anyway inaweza isiwekwe wazi lakini huwa kuna taarifa za umiliki wa asilimia kadhaa baina ya mwekezaji na serikali.
Pia kuna mikataba binafsi.
Mwisho binafsi naunga mkono hawa DP World waje.
 
Kifupi ni wapumbavu sana
 
Kukosea jambo lililopita hakuwezi kuhalalisha kuyaacha mengine haramu yaende tu.

Zama hubadilika, majira na nyakati pia hubadilika.

Basi pia hata maono, utashi, ujuaji wa mambo na upana wa mawazo na fikra hubadilika.

Malezi na ukuaji wa mtoto wa 1990 kurudi nyuma ni tofauti na malezi na ukuaji wa kijana wa mwaka 2000.

Lakini ukumbuke miaka mingi nyuma tuliingia mikataba ya giza. Hakukuwaga hata na mitandao, videos wala kurugenzi za nawasiliano ikulu. Isipokuwa baadae tulijikuta tuna suffer consequencies za hiyo mikataba.

Serikali ya JPM ilikuja ikatuzindua na mambo mengi ikiwemo mikataba wanayoingia hao watu wa serikali. TEC hawakuanzisha hoja ya DPW..ilianza na aliyechomoa mkataba kuwapa wanasiasa. Baada ya maneno mengi TEC kwa muda wao wakaupitia, wakashirikisha wataalam..wakawaacha serikali waone itaamua nini.

Serikali ikaziba masikio, ikalifanya jambo la kisiasa, bunge likapitisha kwa kishindo..ikaanza kukamata na kuwatisha wanaopinga na kuwafungulia kesi.

TEC ikajitosa na yenyewe kuizindua serikali..kuna wakati si kila anayekupinga ana nia ovu japo unapoharamisha haramu huku ukijua ni haramu unajiona una haki.

TEC wamepigilia msumari na wameona sasa imefika mwisho wa hii mikataba ya kimangungo..Mwenyezi Mungu azidi kuingilia kati anusuru taifa letu. Ipo siku hata huyo mnayemtetea atawashukuru TEC na hao wengine wanaompinga leo.
 
Bahati mbaya Maaskofu wakishaongea hawarudi kukujibu.[emoji419][emoji375]
 
Giza ni totoro kuhisi una akili kuliko wengine wakati nawe umefanya kioja kile kile cha kuwajadili watu badala ya hoja za bandari tujivue kwenye mtego kupiga nyeto sana kuna leta matatizo kwenye ubongo haufanyi ngono lakini una magonjwa ya zinaa je nani anawwatoa upwiru wale madada swali kwanini wafunge uzazi kama hawakutani na wanaume?.taafakari!
 
Mikataba kibao ya hii nchi imeingiwa kisengerema hamkupiga kelele kisa waliingia wagalatia wenzenu leo hii rais muislam mnapayuka sana. Endeleeni kupayuka
 
Msijidai mna akili sana kwani hao wakina Dr. Tulia ni waislam? Mbona wanaotetea huo mkata mnaouona wa kindezi?
 
Kwahiyo bunge ni la waislamu!!
Waliopitisha..
 
Wewe ni mtu mzima ila huna akili..TEC wamechambua mkataba,na wameainisha kasoro za mkataba na wametoa mapendekezo yao. Mnatakiwa kufanya hivyo pia nyie waislamu, badala ya ku attack maaskofu wa TEC
 
Kwa mtazamo wako kupinga suala la Bandari ni kipimo cha akili?
CDM mna kazi sana
 
Cha kushang
Wakiristo gani wenye elimu wewe kenge, hawa wanafunga ndoa za gender moja humo makanisani mwenu na baba askofu kutoa baraka zote ndio akili. usilete udini hapa kama huna nyuzi za kupuyanga si ukae kimnya .
 
Wewe ni mtu mzima ila huna akili..TEC wamechambua mkataba,na wameainisha kasoro za mkataba na wametoa mapendekezo yao. Mnatakiwa kufanya hivyo pia nyie waislamu, badala ya ku attack maaskofu wa TEC
Maskofu ni nani nchi hii wewe pimbi . ati TEC wamechambua wakachambue matako yao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…