Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Haijàandikwa popote
Tulidanganywa hapa
Mt 19:4

Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke

Marko 10:5-9

Neno: Bibilia Takatifu

​

5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Read full
 
Kama ndio Mungu alikupa !na anatenda kama Ipasavyo kwako anatosha !lakini kama ni Hawa visirani wanaotupunguzia umri was kuishi Kwa makelele kibao,unaoa tena kujaribu bahati yako!!

Kelele mingi,hila,Sanaa za kukuumiza kihisia,plus kutopenda ndugu zako akitaka wakwake!plus kugawa tendon Kwa hasira ya kukomoa hata kwa vijana wadogo Ili akufedheheshe udharaulike Hiyo ni sababu tosha ulikosea na rekebisha makosa Hadi utakapopatia !usije ukazeekea Kwa mbwa mwitu Kwa hofu ya dini na desturi coz mitara ilikuepo kabla ya dini kuwepo!!

Chukua hiyo!!
 
Nimejibu reality si kwa mizania ya uchumi, yes tunataka peace of mind and more options but wew you willing ku extend account yako? I mean huoi sanam wala mdoli
 
Dah bora kumbe kuna wanaume wana
Dah bora kumbe kuna wanaume sio wabinafsi wanafikiria mwanamke anavyojisikia kwa iyo situation, wanaume wengi wangefikiria ivyo labda wangepunguza kuumiza wanawake, maana ni maumivu mno
 
ushauri makini sana!!👿 kama anajitosheleza kwa nn uongeze mwingine? Likewise kama anapwaya kwann awe peke ake? Your choice, your life! Be wise!!!
 
Hongera yako mkuu, ninawashangaa hawa wanaume wanaoendeshwa na tamaa za miili yao
Hatari sana...afu unakuwa unasemaje ..."I love you kwa mke wako in a way you gotta mean it..."

Ngono isipoangaliwa inamreduce mtu to an animal...anakuwa anamtumia mwenzake...kwahiyo anamuondolea utu anamtumia kama mdoli ...na anaefanya hivyo kadhalika anakuwa amejireduce to an animal...anakuwa to anatafuta sexual gratification kama mbwa au mbuzi...utu na heshima yote hupotea...sijui kama watanielewa hapa

Ukimwita mdada anaejiuza ..."we malaya njoo hapa tuongee biashara..." atakumaind kwanini...ukweli unamshambulia kuwa anafanya sicho
 
Dah bora kumbe kuna wanaume wana

Dah bora kumbe kuna wanaume sio wabinafsi wanafikiria mwanamke anavyojisikia kwa iyo situation, wanaume wengi wangefikiria ivyo labda wangepunguza kuumiza wanawake, maana ni maumivu mno
Sure nikimkwaza mke wangu nakosa amani why should I be selfish nimkwaze makusudi

Dhamiri yangu inazungumza kila wakakti
 
Hatari sana na mwanamke ukisema unataka mwanaume aliyetulia asiye na mambo mengi watakushambulia watakwambia hakuna wa hivyo labda umuumbe mwenyewe, hii dunia ni uasi mtupu🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…