Hivi wameshaongeza magereza au wanatuzengua? Ona sasa ushanitia matatizoni kwa kuquote post yako. Sijui kama nimeiLike litakuwa kosa jingine?Stupid kabisa. Msitutishe .Tutalike na tutacoment. Sasa naona mnataka kuingilia uhuru wetu hadi vya kulike jamani ?Kwanza wakati mwingine unaweza kulike bila hata kujua.
Inachanganya mini tena? Yani ni hivi.... ukiona post Ray kagegeda mtoto wa Kajala afu ukacomment chochote iwe kupinga au kuunga mkono utakuwa umefanya kosa maana hujashuhudia Paula akimpanulia upaja Ray akachomeka kojoleo lake... Unatakiwa ucomment pale unapokuwa na uhakika tu...Inachanganya
Yani kama hapa nilivyokuquote nshafanya kosa maana sina uhakika kama kweli siku yako imeanza vizuri...Kwa hiyo wananchi tumezuiwa KuLIKE na KuComment na Kusubscribe/Kufollow kabisa πππππππ Siku imeanza vizuri hii.
JUU-Jaribu Uone UtaelewaMbona sijamuelewa waziri.
Kucomment huwa ni positive au negative sasa kwanini unakataza?
Yani kama hapa nilivyokuquote nshafanya kosa maana sina uhakika kama kweli siku yako imeanza vizuri...
Umenielewa sasa?
Hahaha nimekuelewa AprinπInachanganya mini tena? Yani ni hivi.... ukiona post Ray kagegeda mtoto wa Kajala afu ukacomment chochote iwe kupinga au kuunga mkono utakuwa umefanya kosa maana hujashuhudia Paula akimpanulia upaja Ray akachomeka kojoleo lake... Unatakiwa ucomment pale unapokuwa na uhakika tu...
BTW, D na babaake hawajambo? Waambie babu nawasalimu eti
Kwa maana hii bado hujaelewa. Hapa ushafanya kosa kuniquote maana huna uhakika kama niko na bibi... kaa chonjo difenda linakuja...Hahaha nimekuelewa Aprinπ
D na baba yake hawajambo kabisa hofu na mashaka ni kwako wewe na bibi
Hahaha Salam zimefikaπ π πKwa maana hii bado hujaelewa. Hapa ushafanya kosa kuniquote maana huna uhakika kama niko na bibi... kaa chonjo difenda linakuja...
Mefurahi kusikia hawajambo. Ila sijaona sehemu umesema kama umewafikishia salamu zangu...
Kwanini lakini mama D?
Ulipata utapiamlo ukiwa mdogo, hili ni hakika.Umeambiwa kama kitu huna uhakika nacho,usipost,kukoment wala kulike...
Niko huku maporini nalinda nyani wasile mazao nalaiki tyu, sijui watanitumia makomando na helicopter!?Loh basi nimejikuta nime laik nasubiri defender au ile gari nyeupe.
Watakutumia Unidentified Moving Objects (UMO)Niko huku maporini nalinda nyani wasile mazao nalaiki tyu, sijui watanitumia makomando na helicopter!?
Tanzania ya drama!
Everyday is Saturday............................... π
Kula like!Msiogope na hiyo mikwara.
Uwezo wa kufanya hicho anachosema wangeweza wangeshafanya siku nyingi.
Sio kazi ndogo kufuatilia mtu, mmoja mmoja
Sio kwamba haiwezekani, inawezekana ila usumbufu na gharama za kufuatilia kila mtu kwa habari za udaku ni wehu.
FBI wanatumia pesa nyingi, na wataalam konki kufuatilia mambo hatarishi ya kiusalama.
Sisi huku bado tunakusanya fedha za madawati af mtu anakwambia atakukamata uki like na ku comment, ππππππππππππ