MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Mfano Muheshimiwa Raisi Akisema HAKUNA CORONA Nisi-like au Ku-comment kweli...?? Maana hii ntakuwa na uhakika nayo..!Amesema kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, usilike wala kukoment
😆😆😆Waziri asituletee UHANITHI, imetosha sasa.
Mwambie ni mpuuzi kama wapuuzi wengine"Mtu usifikiri unaweza kujificha kwenye mitandao hata kama utatumia jina sio la kwako tutakufikia tu, nitoe rai tuwe na matumizi sahihi sisi lengo letu sekta hii inakuwa na tija kwa watu lakini tutaendelea kuchukua hatua kwa wanaoenda kinyume"-
@DocFaustine
Kazi ipo!!!!!!!
Kwenda kinyume ni nini! Akisema Korona haipo nawe ukasema Korona ipo, tayari umekwenda kinyume hivyo unastahiri ukamatwe ukathibitishe kuwa ipo."Mtu usifikiri unaweza kujificha kwenye mitandao hata kama utatumia jina sio la kwako tutakufikia tu, nitoe rai tuwe na matumizi sahihi sisi lengo letu sekta hii inakuwa na tija kwa watu lakini tutaendelea kuchukua hatua kwa wanaoenda kinyume"-
@DocFaustine
Kazi ipo!!!!!!!
Nikisema huna Akili utasema nimeenda Kinyume?Kwenda kinyume ni nini! Akisema Korona haipo nawe ukasema Korona ipo, tayari umekwenda kinyume hivyo unastahiri ukamatwe ukathibitishe kuwa ipo.
Baada udhibiti kwenye uchaguzi kufanikiwa tutegemee mzigo mkubwa wa kuonewa washajua wanatuweza!Kuna vitu vinachekesha jamani, Eti unazuiwa UsiLIKE wala kuComment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] what a joke!
Kumbe unajua, hayo ni mawazo yako inabidi unithibitishie. Mara zote serikali zenye usiri zinapoona kuna jambo ambalo ni nyeti na hawawezi kulitolea ufafanuzi huja na kinga ya kujihami dhidi ya wananchi wanaohoji, nayo ni hiyo ya mheshimiwa.Nikisema huna Akili utasema nimeenda Kinyume?
Uzi komoni sensi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa usku mwema na kuombea viongoz wa nchi vina uhusiano gan
Nawatakieni usiku mwema wanajf wote huku nikiwakumbusha kujiepusha na usambazaji wa taarifa kutoka vyanzo visivyo rasmi kuanzia sasa
Mtanzania ipende nchi yako,wapende viongozi wako waombeeni na wasameheni pale mnapohisi wamewakosea kwani kwa kufanya hivyo mtaifanya nchi yetu kuwa nchi ya mfano
Jiepusheni na ushabiki maandazi pale binadamu wenzenu wanapopendwa zaidi na Mungu kwani WAFU HAWAJUI CHOCHOTE hivyo kushangilia kifo cha binadamu mwenzako ni IBADA YA SANAMU