ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kura zipi ziliibiwa?Wa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura zipi ziliibiwa?Wa kura
Kwamba wakishinda wale hakuna wizi uchaguzi ni wa wazi, huru na hakiTumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Yani ushinde wewe kila siku huku raia mtaani wanawakataa..... Uchaguzi wa 2020 dhidi ya wenyeviti wa mtaa, madiwani na wabunge ni udhibitisho tosha.... Sijui unatetea Utopolo ganiKwamba wakishinda wale hakuna wizi uchaguzi ni wa wazi, huru na haki
Wakishinda hawa kuna wizi umegawanyika uchaguzi haukua wa wazi, haki na huru 🤣🤣
Huwa nasikia Kwa walioshindwa ambao lazima watafute kisingizio Cha kujifariji eg Trump,Chadema,Odonga and the likesHili ni swali au Utopolo.... Wewe neno wizi wa kura ndio umelisikia leo tangu uzaliwe? Lisemwalo lipo kama halipo linakuja
Wewe ueleweki kama Demu aliyekua nauli.... Unatetea Kijani kwenye post za watu, alafu post zako unaiponda serikali....Huwa nasikia Kwa walioshindwa ambao lazima watafute kisingizio Cha kujifariji eg Trump,Chadema,Odonga and the likes
Natetea Samia sio kijaniWewe ueleweki kama Demu aliyekua nauli.... Unatetea Kijani kwenye post za watu, alafu post zako unaiponda serikali....
Mimi sina chama, sina kadi... Mimi nachagua kiongozi kwa sifa zake na si chama alichotoka... Kushinda mshinde nyie tu kijani, Marekani penyewe kwenye demokrasia uwezi kuona chama kinashinda zaidi ya mara 3
sasa huna sera nzuri ,huna wagombea wazuri na makini, hujielezi vizuri, inafahamika umetumwa, huna wakala hata moja kituoni, nani atkuchagua? unasema unashinda, utamshinda nani wap na kwa mtindo gani, labda kwa hisia au mihemko?.Yani ushinde wewe kila siku huku raia mtaani wanawakataa..... Uchaguzi wa 2020 dhidi ya wenyeviti wa mtaa, madiwani na wabunge ni udhibitisho tosha.... Sijui unatetea Utopolo gani
Mambo meeng chini ya mwafrika kuna janja janja nyiingi.....hata CCTV zikifungwa utaskia tu kuna video hazionekani la muhimu ni Watu wenyewe waamue tu kuwa na uaminifu otherwise hamna lolote litakalobadilikaTumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Sasa wakitaka kuiba si wanakata tu umeme hata kwa nusu saa! Baada ta hapo, kila kitu kinabakia kuwa ni historia tu. Au kila kituo kitawekwa pia standby generator?Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Wizi hauwezi kutokea wakati wa upigaji kura ila ni wakati wa kuhamisha kutoka eneo moja kwenda jingine kwa ajili ya kuhesabiwa hapo CCTV zitashikaje vitendo vyenye shuku?Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Zile CCTV camera zilizokuwa pale area D alipopigiwa Lissu ulishawahi kusikia ziko wapi? Au zilierkodi nini?Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Ushauri mzuri sana pia tuachane na mambo ya kupiga kura kwenye madarasa ya shule.vijengwe vyumba maalumu kwa ajili hiyo ambamo mitambo ya CCTV zitawekwa na baada ya uchaguzi vituo hivyo vitumike kwa ajili ya ofisi.Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Mchezaji wa Yanga kawezi kuwa referee wa mechi ya Yanga na Simba. Tatizo linaanzia hapoTumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.