Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Upo sawa Kamanda mwenzanguHao wanaozuia mawakala wa upinzani kuingia vituoni ndio watakaozima hizo CCTV cameras.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sawa Kamanda mwenzanguHao wanaozuia mawakala wa upinzani kuingia vituoni ndio watakaozima hizo CCTV cameras.
CCTV ZILIFUNGWA KWENYE LANGO LA KUINGIALIA NYUMBA ALIYOKUWA ANAISHI TUNDU LISSU WAKATI ANAPIGWA RISASI DODOMA LAKINI BAADA YA TUKIO ZILIONDOLEWA MPAKA LEO HIVYO HIZO ZA NEC NAZO ZITAONDOLEWA NA WAHUSIKATumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Kura zinazoibwa katika mfumo ndani ya tallying system ya kura itazuiwaje na CCTV cameras?Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
CCTV mpaka vijijini ndani kabisa. ??!!Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Nadhani unajichanganya mwenyewe kwa kutojua.Teknolojia nayo ikitumika vizuri, inakuwa suluhisho... Mfano makazini wanaweka mfumo wa kusaini umeingia kazini kwa fingerprint inakuwa ni ngumu mtu kufoji, lakini waliokuwa wanasaini kwenye makaratasi wengi walikuwa wanafoji na kuandika kafika mapema kumbe kachelewa.
Teknolojia siku zote ni mwarubaini wa makosa yanayofanywa kianalojia
Ni pendekezo lisilokuwa na miguu.CCTV mpaka vijijini ndani kabisa. ??!!
Vituo vilivyopo vijijini ndio vingi zaidi kuliko vilivyopo mijini !!
Najaribu kuwaza sijui kama inawezekana !! Kama fomu tu vituo vingine huwa zinachelewa kufika 😅😅
Siyo Ccm!!!Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Tutaingia gharama za bure tu. Muarobaini ni Tume Huru ya Uchaguzi (Independent Electoral Commission) inayojitegemea, yenye watumishi wake yenyewe na matokeo ya wagombea wote yapingwe mahakakamani.Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Iba na weweWa kura