Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Hizo hela za kuweka CCTV ni bora zikaboreshe sekta ya afya, elimu na barabara. Maana CCM wataiba tu hizo kura kama kawaida yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijitoe akili!! Kwamba hujui kura huibiwa na CCM ama unajizimaga data tu!!Wizi upi?
Halafu DVR zimilikiwe na CCM? Hapo ni kaz bure. Kikubwa katiba mpya, tume huru isiyokua nominated na Rais, uchaguzi wa kielektroniki!!Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Naunga mkono hoja 👍👏🤝Bro,tatizo la nchi hii ni hatuna ”tume huru ya uchaguzi”,tume ambayo mwenyekiti wake hawajibiki au hatokani kwa namna yoyote na utashi wa viongozi wa kisiasa.
Tutazunguka kote lakini point ya msingi ni kupata uhuru wa tume nje ya hapo uchaguzi hata wasimamie Masheikh na wachungaji still matokeo yatatengenezwa tu.
Tume huru ya uchaguzi bila watu wenye uhuru na usalama kwenye misimamo yao ni ushamba tu jalponi hatua nzuri lakini watu wanakuwa serikali au kwenye mihimili iundayo serikali lakini inakuwa michawa tu.Bro,tatizo la nchi hii ni hatuna ”tume huru ya uchaguzi”,tume ambayo mwenyekiti wake hawajibiki au hatokani kwa namna yoyote na utashi wa viongozi wa kisiasa.
Tutazunguka kote lakini point ya msingi ni kupata uhuru wa tume nje ya hapo uchaguzi hata wasimamie Masheikh na wachungaji still matokeo yatatengenezwa tu.
Lissu alipigwa Risasi ma CCTV zilikuwepo zilisaidia niniTumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
naunga mkono hoja, ila mengi yanahitajika hili ni mojawapo.
CCTV ya modewji si mbona iliwekwa wazi...
Hiyo ya Tundu Lissu nayo wahusika hawakuonwa kwa sura....
Lakini hii ya uchaguzi lazima uingie kwenye chumba ukiwa unaonekana, hivyo ni rahisi kumtambua mtu endapo akifanya ujinga.
Hao wanaozuia mawakala wa upinzani kuingia vituoni ndio watakaozima hizo CCTV cameras.Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Nani atasimamia hizo CCTV?Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Saver itakuwa monitored na nani? Kwanini tutumie bilions of money kwa uchaguzi tu na sio kuleta maendeleo?Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Ni sawa lakini hili si tatizo la msingi kwa sababu mfumo ndo umejikita kutokutenda haki. Tutafute suluhu ya kurekebisha huo mfumo batili na haramuSasa kumbuka hizi CCTV ni zinatizamwa na wasimamizi wa Chadema na wa vyama vingine kipindi mchakato wa kura unaendelea... Kunakuwa na watu wa kila chama wakiwa maalumu kwa ajili ya kukaa kwenye vyumba vya CCTV kutizama mchakato mzima... Endapo ikitokea dosari wanashughulika nayo hapo hapo huku wanatumia CCTV footage kama evidence.
Ni tofauti na TV ikionesha tukio, maana wanaweza kuambiwa wametunga au kutengeneza video, au chochote hili kujitetea.... Kumbuka CCTV inarekodi muda, tarehe na eneo husika
😆😆😆KweliHao wanaozuia mawakala wa upinzani kuingia vituoni ndio watakaozima hizo CCTV cameras.
Alipokuwa anqishi Tundu lisu kule Dom zilikuwepo! Baada ya tukio la kupigwa risasi Kuna wamba walikuja kuzinyofoa! Labda mtuambie wale wamba wachomoao CCTV kwenye barabara issue tata wamekufa wote na makaburi yao tumeyaona ndo tutakubali ziwekweTumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa hawana vitambulisho sahihi, hawajavaa vizuri na zengwe la kila aina ilimradi waondoke hili kura ziingizwe.
Na shauri CCTV camera ziwe zinafungwa kwenye vyumba hivi vya kupigia kura nchi nzima ili endapo kuna kasoro basi inakuwa rahisi kwenda kutizama CCTV na kujua nini kimetokea. Hii itasaidia kuondokana na shida ya uangalizi endapo msimamizi atakuwa kashindwa kusimamia vizuri. Mfano Boksi za kura zikiletwa basi inakuwa rahisi kuzifuatilia pia kupitia CCTV kamera endapo zimeongezwa
Kabla ya kufungua uzi mimi nilijua ivyo ndivyo alivyomaanishaMleta mada ngoja nikupe shule.
Ukiwndika NEC: CCTV zifungwe.........
Maana yake NEC ndiyo wametoa kauli hiyo.