Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Hawa NEC ni wapuuzi kweli. Kwa hiyo watapita na magari ya matangazo kuwa wanataka waanze kutangaza matokeo hivyo tusogee tuwasikilize.

Wao hofu ipo wapi hata tukikaa mita 100 kusubiria watutangazie.

Mkishakuwa na nia ovu mnaonekana tu. Kazi yenu ni kuhesabu kura tulizopiga na kutangaza matokeo,hayo ya sisi kukaa wapi msitufokee.
 
NEC wavunja sheria kuna vituo vingi viko karibu na makazi vingine mita 3
 
Kwani kura Mali ya nani .....
 
Ndo sehemu peke iliyobaki ya kubadilisha masanduku walahi siondoka kura ni mali yangu HAWA JAMAA NI WEZI NA TUKIMALIZANA NA HILI KAIJAGE GET READY HATUKUACHI LAZIMA TUKUPELEK ICC KAMA JINA HALIJATANGULIA SIJUI MCHANA KWEUPE YAANI DUKA UNALIACHA MLANGO WAZI WAKIIBA UZEMBE WA NANI
 
Hahahaha wezi utawajua tu.
Tena wanatoa mimacho uzuri wake Polepole Alisha twambia kukiwa na tume huru CCM hawezi kushinda na watu wamesha jua wanavyo tupiga 1.Uwepo wa vituo hewa 2.Matokeo ya Urais kutangazwa na tume/mgurugenzi 'possible solutions' nikufanya majumuisho ya kura vituo vyote kwakuwa na mawakala Wa vyama vya upinzani,kulinda kura maana yake kusiwe na kura zinazo ingia kabla ya kuhesabu la mwisho na la muhimu ni nakala ya matokeo yote kwenye kituo cha kupigia kura
 
unaomba wa kukuwekea dhamana unajuaje kama utakuwa hai na kuwahi kufikishwa kituo cha polisi ukiwa hai?

Hapo TIA si mnatazamana tu na kambi ya JWTZ? UNAYEMTISHIA NYAU NANI HASA?
Mbona mnababaika subirini aliyekuambia kwamba wanajeshi wanapenda ujinga mliowafanyia ccm nani!? Hata Malawi pia walikuwepo wanajeshi!
 
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM siyo Tume huru ya uchaguzi
 
Tumeccm NECCCM tayari wanayo matokeo mifukoni wanataka watu waondoke ili wachukue wachanganye na kura zingine na kuipa CCM ushindi haramu wa kishetani
 
Reactions: BAK
Kwanza waliwazuia mawakala kuingia katika vyumba vya kupigia kura na smart phones ili maovu yao tumeccm yasianikwe hadharani haraka, sasa wamekuja na hili la wapiga kura tusilinde kura zetu. Kama wanataka kutenda haki kwanini waogope mawakala kuwa na simu au wapiga kura kulinda kura zao hadi pale matokeo yatakapotangazwa!?
 
Kuna watu wanaishi nje ya nchi lakini hapa JF utawasikia oh tutalinda kura sijui nini, utopolo mtupu.
 
Hicho kiwanja NECCCM watatumia kufanya uchakachuaji ni cha baba yako? Hilo Eneo wanalofukuza watu ni la mama yako mzazi? Mita 100 ni kwa watanzania wapenda Haki hawana tatizo na watu kukaa na hawataki kuombwa vibali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…