Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Huku morogoro kunavituo vingi viko karibu na makazi mita 2 toka barabarani NEC wamevunja sheriaMie ntapima siku 3 kabla afu niweke alama. Ntakaa mita 125 toka kituoni. Sitaki ugomvi na mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku morogoro kunavituo vingi viko karibu na makazi mita 2 toka barabarani NEC wamevunja sheriaMie ntapima siku 3 kabla afu niweke alama. Ntakaa mita 125 toka kituoni. Sitaki ugomvi na mtu
Hawa NEC ni wapuuzi kweli. Kwa hiyo watapita na magari ya matangazo kuwa wanataka waanze kutangaza matokeo hivyo tusogee tuwasikilize.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.
Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura kituoni, baada ya kukamilisha shughuli hiyo arudi nyumbani.
Hayo yalielezwa na Ofisa elimu kitengo cha mpigakura, Nuru Liwa, katika mkutano wa kuijengea uwezo Klabu ya Waandishi wa Habari wa Dar es Salaam (DCPC).
Liwa alisema ni kosa la jinai kukiuka utaratibu uliowekwa na NEC siku ya kupiga kura na kabla ya kupiga kura na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wote watakao kiuka sheria
Mpigakura unatakiwa kufika kituoni katika muda uliotapangwa na NEC na muda wa kupiga kura ukiiisha hakuna mtu mwingine atakayeruhusiwa kupiga kura, lakini ikitokea muda umeisha na wapiga kura wapo katika mstari, askari wa kituo husika atatakiwa kusimama nyuma ya mtu wa mwisho hadi wale waliokuwa katika mstari wamalizike kupiga kura,” alisema Liwa.
Mbali na kutoruhusu mtu yoyote kukaa mita 100 kutoka katika kituo husika, pia NEC imetahadharisha watu kutokuchana orodha ya wapiga kura pamoja na mabango yanayoelezea elimu kwa mpiga kura yaliyopo katika vituo vya kupigia kura.
“Kuchana mabango yaliyobandikwa katika vituo vya kupigia kura ni kosa, hivyo wananchi wajiepushe na jambo hilo, na wananchi wanatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa katika siku ya kupiga kura ili kuepuka kuvunja sheria,” alisema Liwa.
Suala hilo liliibua mvutano katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hadi likafikishwa kortini ambapo Mahakama Kuu iliamuru kuwa si ruhusu watu kukaaa mita 100 kutoka kituo cha kupigia kura.
Awali, Mwenyekiti wa Klabu ya DCPC, Irene Mark aliwataka waandishi wa habari kutumia taaluma yao kuhabarisha jamii badala kupotosha umma.
“Nawaomba wanahabari wenzangu, tutumie kalamu zetu vizuri kwa ajili ya kuelimisha umma, si katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, bali wakati wote kwa sababu waandishi ndio masikio ya jamii,” alisema Mark.
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Kitengo cha usimamizi na utekelezaji wa Sheria na masharti ya leseni, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA), Dk Philip Filikunjombe amewataka waandishi wa kuisoma vizuri sheria ya maudhui ya vyombo vya habari ili waweze kuelimisha jamii wakati wa uchaguzi.
Alisema kama mwanahabari ataielewe vizuri sheria hiyo, itamsaidia katika utendaji kazi wake.
Akizungumzia ukubwa wa tatizo la watu kutumia vibaya mitandao ya kijamii, Dk Filikunjombe alisema, wanawake wanaongoza kwa kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kuruhusu kupiga au kupigwa picha zenye utata na wapenzi wao ambao kuzituma mitandaoni.
Alisema TCRA, imekuwa ikipokea kesi nyingi za namna hiyo, nyingi zinawahusu wanawake kudhalilishwa mitandaoni kwa sababu wao ni wachangiaji wakubwa wa masuala binafsi mtandaoni.
NEC wavunja sheria kuna vituo vingi viko karibu na makazi vingine mita 3Hawa NEC ni wapuuzi kweli. Kwa hiyo watapita na magari ya matangazo kuwa wanataka waanze kutangaza matokeo hivyo tusogee tuwasikilize.
Wao hofu ipo wapi hata tukikaa mita 100 kusubiria watutangazie.
Mkishakuwa na nia ovu mnaonekana tu. Kazi yenu ni kuhesabu kura tulizopiga na kutangaza matokeo,hayo ya sisi kukaa wapi msitufokee.
Hahahaha wezi utawajua tu.Umeshapiga Kura Vyema,Kwani Kuna Ubaya Gani Ukarudi Nyumbani Ama Kukaa Nje Ya Mita 200 Na Kuwaacha Mawakala Wetu Kutuwakilisha Vituoni?!!!
Kujazana Nje Ya Vituo Ni Kuzuia Wengine Kupiga Kura Kwa Utulivu...
Tafakari.
They have got a hidden agendaKura za ccm za kumteua magufuli wamejazana ukumbini mita 2 kura zikihesabiwa. Ila hizi fyokofyoko nyingiiii.
Kwani kura Mali ya nani .....Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.
Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura kituoni, baada ya kukamilisha shughuli hiyo arudi nyumbani.
Hayo yalielezwa na Ofisa elimu kitengo cha mpigakura, Nuru Liwa, katika mkutano wa kuijengea uwezo Klabu ya Waandishi wa Habari wa Dar es Salaam (DCPC).
Liwa alisema ni kosa la jinai kukiuka utaratibu uliowekwa na NEC siku ya kupiga kura na kabla ya kupiga kura na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wote watakao kiuka sheria
Mpigakura unatakiwa kufika kituoni katika muda uliotapangwa na NEC na muda wa kupiga kura ukiiisha hakuna mtu mwingine atakayeruhusiwa kupiga kura, lakini ikitokea muda umeisha na wapiga kura wapo katika mstari, askari wa kituo husika atatakiwa kusimama nyuma ya mtu wa mwisho hadi wale waliokuwa katika mstari wamalizike kupiga kura,” alisema Liwa.
Mbali na kutoruhusu mtu yoyote kukaa mita 100 kutoka katika kituo husika, pia NEC imetahadharisha watu kutokuchana orodha ya wapiga kura pamoja na mabango yanayoelezea elimu kwa mpiga kura yaliyopo katika vituo vya kupigia kura.
“Kuchana mabango yaliyobandikwa katika vituo vya kupigia kura ni kosa, hivyo wananchi wajiepushe na jambo hilo, na wananchi wanatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa katika siku ya kupiga kura ili kuepuka kuvunja sheria,” alisema Liwa.
Suala hilo liliibua mvutano katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hadi likafikishwa kortini ambapo Mahakama Kuu iliamuru kuwa si ruhusu watu kukaaa mita 100 kutoka kituo cha kupigia kura.
Awali, Mwenyekiti wa Klabu ya DCPC, Irene Mark aliwataka waandishi wa habari kutumia taaluma yao kuhabarisha jamii badala kupotosha umma.
“Nawaomba wanahabari wenzangu, tutumie kalamu zetu vizuri kwa ajili ya kuelimisha umma, si katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, bali wakati wote kwa sababu waandishi ndio masikio ya jamii,” alisema Mark.
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Kitengo cha usimamizi na utekelezaji wa Sheria na masharti ya leseni, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA), Dk Philip Filikunjombe amewataka waandishi wa kuisoma vizuri sheria ya maudhui ya vyombo vya habari ili waweze kuelimisha jamii wakati wa uchaguzi.
Alisema kama mwanahabari ataielewe vizuri sheria hiyo, itamsaidia katika utendaji kazi wake.
Akizungumzia ukubwa wa tatizo la watu kutumia vibaya mitandao ya kijamii, Dk Filikunjombe alisema, wanawake wanaongoza kwa kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kuruhusu kupiga au kupigwa picha zenye utata na wapenzi wao ambao kuzituma mitandaoni.
Alisema TCRA, imekuwa ikipokea kesi nyingi za namna hiyo, nyingi zinawahusu wanawake kudhalilishwa mitandaoni kwa sababu wao ni wachangiaji wakubwa wa masuala binafsi mtandaoni.
Ndo sehemu peke iliyobaki ya kubadilisha masanduku walahi siondoka kura ni mali yangu HAWA JAMAA NI WEZI NA TUKIMALIZANA NA HILI KAIJAGE GET READY HATUKUACHI LAZIMA TUKUPELEK ICC KAMA JINA HALIJATANGULIA SIJUI MCHANA KWEUPE YAANI DUKA UNALIACHA MLANGO WAZI WAKIIBA UZEMBE WA NANIJE NI NINI HOFU YA TUME ENDAPO WATANZANIA SAFI KABISA WATAAMUA KUSUBIRIA MATOKEO YAO HAPO ? BAADHA YA MAMBO AMBAYO TEME INAPENDEKEZA NDIYO HAYO HAYO HUENDA YAKAWA CHANZO CHA VURUGU KWA NINI UWAWEKE WATU KATIKA BRACKET IWAACHE WANAOTAKA KULINDA KURA ZAO KAMA KWELI HAKUNA UJANJA UJANJA
Tena wanatoa mimacho uzuri wake Polepole Alisha twambia kukiwa na tume huru CCM hawezi kushinda na watu wamesha jua wanavyo tupiga 1.Uwepo wa vituo hewa 2.Matokeo ya Urais kutangazwa na tume/mgurugenzi 'possible solutions' nikufanya majumuisho ya kura vituo vyote kwakuwa na mawakala Wa vyama vya upinzani,kulinda kura maana yake kusiwe na kura zinazo ingia kabla ya kuhesabu la mwisho na la muhimu ni nakala ya matokeo yote kwenye kituo cha kupigia kuraHahahaha wezi utawajua tu.
Mbona mnababaika subirini aliyekuambia kwamba wanajeshi wanapenda ujinga mliowafanyia ccm nani!? Hata Malawi pia walikuwepo wanajeshi!unaomba wa kukuwekea dhamana unajuaje kama utakuwa hai na kuwahi kufikishwa kituo cha polisi ukiwa hai?
Hapo TIA si mnatazamana tu na kambi ya JWTZ? UNAYEMTISHIA NYAU NANI HASA?
Jw wenyewe wanalinda kura au hamjui this time mtajua hamjuiNa hiyo mita 100 ukiihesabu unaipata ndan ya kambi ya jw sijui tunamsaidiaje huyu komred
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM siyo Tume huru ya uchaguziWana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
Tumeccm NECCCM tayari wanayo matokeo mifukoni wanataka watu waondoke ili wachukue wachanganye na kura zingine na kuipa CCM ushindi haramu wa kishetaniJE NI NINI HOFU YA TUME ENDAPO WATANZANIA SAFI KABISA WATAAMUA KUSUBIRIA MATOKEO YAO HAPO ? BAADHA YA MAMBO AMBAYO TEME INAPENDEKEZA NDIYO HAYO HAYO HUENDA YAKAWA CHANZO CHA VURUGU KWA NINI UWAWEKE WATU KATIKA BRACKET IWAACHE WANAOTAKA KULINDA KURA ZAO KAMA KWELI HAKUNA UJANJA UJANJA
Sasa ni mwaka 2020 acha kuuliza mambo ya 2015 yaliyopitwa na wakatiUchaguzi uliopita ulikuepo?
Kama ulikuepo uliambiwa ufanyaje baada ya kupiga kura?
JE NI NINI HOFU YA TUME ENDAPO WATANZANIA SAFI KABISA WATAAMUA KUSUBIRIA MATOKEO YAO HAPO ? BAADHA YA MAMBO AMBAYO TEME INAPENDEKEZA NDIYO HAYO HAYO HUENDA YAKAWA CHANZO CHA VURUGU KWA NINI UWAWEKE WATU KATIKA BRACKET IWAACHE WANAOTAKA KULINDA KURA ZAO KAMA KWELI HAKUNA UJANJA UJANJA
Hicho kiwanja NECCCM watatumia kufanya uchakachuaji ni cha baba yako? Hilo Eneo wanalofukuza watu ni la mama yako mzazi? Mita 100 ni kwa watanzania wapenda Haki hawana tatizo na watu kukaa na hawataki kuombwa vibali,Hicho kiwanja utakachokaa ni cha baba yako au mama yako? ni eneo lenu mnamiliki mna hati miliki yake?
Eti haki yako? Haki yako kwenda kukaa eneo la mtu lisilo la baba yako wala mama yako
Mita 100 Maana yake ni kwenye maeneo ya watu
Vinginevyo huo ni uvamizi wa viwanja au maeneo ya watu .Wamiliki mkiwaona pigeni simu poolisi zije defender na mabomu wawaopndoe watu waliovamia maeneo yenu na kuyakalia kwa mabavu
Kukaa eneo la mtu kunahitaji vibali viwili cha kwanza cha mwenye eneo cha pili kibali cha kukusanyika kutoka polisi vinginevyo huo unakuwa mkusanyiko usio halali kwa kufanya uvamizi na pili kukusanyika bila kibali, huo upumbavu wa kutumia Sheria kandamizi kuzuia mikusanyiko ya Aman kwa kuwatumia Polisiccm ndiyo ujinga unaopelekea watu kuichukia CCM kupita Maelezo
Wakala wa upinzani hufanyiwa figisu figisu na Polisiccm pindi wakitaka kufanya uchakachuaji kuingiza kura za wiziWakala wa chama mliyemuweka kazi yake nini?
Wewe si umeleta maendeleo iweje uogope sanduku la kura kulindwa na wapiga kura wenyewe?Kuna watu wanaishi nje ya nchi lakini hapa JF utawasikia oh tutalinda kura sijui nini, utopolo mtupu.
Kuna watu nimewalenga humu. Kwema huko lakini?Wewe si umeleta maendeleo iweje uogope sanduku la kura kulindwa na wapiga kura wenyewe?