barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mtakuja na sababu kuwa ni recorded...Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.