NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

Atakaethubutu ku introduce hiyo technology hapa TZ atafichwa na wasiojulikana
Kukata mzizi wa fitna walete kura za kielektronic tu mtu yupo simuiyu akipiga tu huku inasoma hapo ndio watasema maji mma
 
Kabisa Mtende tukiipata hiyo basi mchezo umekwisha wa kung’ang’ania madarakani kwa njia haramu. Next ni kubadili katiba ili kuondoa vipengele vya kipuuzi vinavyompa Rais madaraka makubwa sana, kuminya uhuru na haki ya raia, vyombo vya habari na vyama vya upinzani. Rasimu ya tume ya Warioba itatufaa sana.

You are right BAK, Dawa ya hii ni kulilia tume huru ya uchaguzi, itakua ndio pona yetu
 
Kwani si kunakuwaga na mawakala wa vyama katika kuhesabu kura! Ina tofauti na kura kuhesabiwa hadharani?
 
Hujawahi kusikia MIKWARA wanayowekewa mawakaka wa upinzani? Hatukujui huruhusiwi kuingia humu, hizi paper za utambulisho wako zina kasoro hivyo hatutakuruhusu kuingia. Mchezo umekwisha maccm yanapeta. Kama hadharani ni muhimu kwa maccm kwanini hadharani isiwe muhimu pia October, 2020!?

The day will come, ccm watalia na kusaga meno cc@magonjwa mtambuka, sijui kama yupo humu au napamban na kura za maoni
Kabisa Mtende tukiipata hiyo basi mchezo umekwisha wa kung’ang’ania madarakani kwa njia haramu. Next ni kubadili katiba ili kuondoa vipengele vya kipuuzi vinavyompa Rais madaraka makubwa sana, kuminya uhuru na haki ya raia, vyombo vya habari na vyama vya upinzani. Rasimu ya tume ya Warioba itatufaa sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tuombe iwe mwaka huu Mtende.

The day will come, ccm watalia na kusaga meno cc@magonjwa mtambuka, sijui kama yupo humu au napamban na kura za maoni
 
Hujawahi kusikia MIKWARA wanayowekewa mawakaka wa upinzani? Hatukujui huruhusiwi kuingia humu, hizi paper za utambulisho wako zina kasoro hivyo hatutakuruhusu kuingia. Mchezo umekwisha maccm yanapeta. Kama hadharani ni muhimu kwa maccm kwanini hadharani isiwe muhimu pia October, 2020!?
No mkuu hizi nyingine nyingi hua ni stori za vijiweni na kauli za walioshindwa. 2015 nilikuwa Long Term Election Observer(LTO) chini ya LHRC. Niliona mengi na mojawapo ni kuwa anaeshinda/kushindwa inakuwa ni halali kabisa.
 
Si kweli vinginevyo Mkapa asingeona sababu ya kutoa kauli kama hii kwa hadithi za VIJIWENI. Haridhishwi na mwelekeo wa Nchi ndiyo sababu anataka kuona Uchaguzi ni HURU na wa HAKI kwa vyama vyote. Na kwa kauli hii inaonyesha Mkapa HANA IMANI na tumeccm.

1595272219144.jpeg

View attachment 1512120
We endelea kuwaamini wanasiasa ambao imeshakuwa proved mara kibao ni ndumilakuwili. We unadhani huyu mzee hatawanadi wagombea wa chama chake hata kama hiyo tume huru haitakuwa imepatikana! Mi naongea kwa experience tena ya field so kila mmoja aamini anachoamini.
 
Duh! Kichwa cha habari kimeshabadilishwa vile anavyotaka MODS. Maxence Melo haya mambo yanaudhi sana na ndiyo sababu ya chanzo cha baadhi kuondoka hapa. Kwanini MODS wanapenda kuingilia uhuru wa wanachama!?
 
Hahahahaha We chizi kweli! Unataka nikuamini wewe 😂😂😂😂😂😂

We endelea kuwaamini wanasiasa ambao imeshakuwa proved mara kibao ni ndumilakuwili. We unadhani huyu mzee hatawanadi wagombea wa chama chake hata kama hiyo tume huru haitakuwa imepatikana! Mi naongea kwa experience tena ya field so kila mmoja aamini anachoamini.
 
NIna maswali yasiyo na majibu, je Magufuli ataweza kusimamia na kutekeleza anacho kifanya kwa wana ccm kama kuhesabu kura hadharani na kutangaza papo hapo walioshinda?
 
Thubutuuu.......utasikia mita 5000 kutoka kituo cha uchaguzi,Na haitajiki raia yeyote aonekane kalibu na kituo cha uchaguzi..
 
NIna maswali yasiyo na majibu, je Magufuli ataweza kusimamia na kutekeleza anacho kifanya kwa wana ccm kama kuhesabu kura hadharani na kutangaza papo hapo walioshinda?
Likitokea hili chini ya fisiemu bila tume huru na katiba mpya... Tanzania itakuwa nchi ya asali na maziwa
 
Back
Top Bottom