NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

Mambo hadharani

Hivi vyama si hua vinateua mawakala wa Vyama vya Siasa wanaokuwepo kituoni Kura zikijesabiwa. Inamaana wenyewe hawashuhudii Kwa niaba ya Mamilioni ya Wananchi.
 
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
😆😆😆😆
 
  • Kicheko
Reactions: BAK

Ile sheria ya wananchi kukaa mbali mita 200 kutoka kwenye sanduku la kura imefutwa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.

Mchakato wa kumpata mgombea URAIS kwa tiketi ya CCM pia uanze upya. Haiwezekani ichapishwe fomu moja tu! Demokrasia ya wapi hii?. Wengi wachukue fomu na kura zihesabiwe hadharani kama "yeye" alivyoagiza kwa WATIA NIA wa ubunge wa chama chake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
👏👏👏 Bravo. Inawezekana ikawa hivyo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom