barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mtakuja na sababu kuwa ni recorded...Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Unataka yatokee ya Kigamboni😂😅?Kama wanafanya vizuri kwenye kura zao kwanini WASHINDWE kufanya vizuri kwenye kura za uchaguzi Mkuu!? Mambo yote yawekwe hadharani bila woga wala kificho. Kama Malawi wameweza na Tanzania pia TUNAWEZA.
Haitakaa itokee. Wakifanya hivyo wataibaje kura?Na uchaguzi mkuu afanye hivyo hivyo hadharani
Unaona sasa...Danganya toto tu hiyo!
Tunaolalamika nchi haindeshwi vizuri, malalamiko yetu ni vs individuals ktk uendeshaji, au mfumo mzima?Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Acha tu yani sijui km itawezekana but lets wait and see😂😂😂😂😂😂 Naam Nchi ilipuke kwa furaha kubwa tukeshe na kufanya parties kwa wiki nzima tena mtaani tu.
Tunaolalamika nchi haindeshwi vizuri, malalamiko yetu ni vs individuals ktk uendeshaji, au mfumo mzima?
Kama ni mfumo, tusihadaike na huku kuangushwa individuals. Inaweza kuwa ni distraction tu, tuache kufikiria the bigger picture. Bashites wakitoka mfumo upo tu.
Tujihadhari
Mhhhh sijui aisee
Ila ikiwezekana hata alieshindwa hatokua na kinyongo
Kama DAB leo asemeje wkt kura kahesabu mwenyewe?
Weeee 98%Vyovyote vile Magufuli atapata zaidi ya 86%
(1) NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano | Page 3 | JamiiForums
Naam ndiyo hilo tunalolitaka la kuondoa KIWINGU.
Kenya pia nimeona mwenyewe Citizen TV huwa wanaonesha live upigaji kura na kuhesabu , masanduku ni meupe yako katikati ya room unaweka kura inaonekana umeweka moja , wanazimwaga na kuhesabu nchi nzima wanaona mubashara!!Kama wanafanya vizuri kwenye kura zao kwanini WASHINDWE kufanya vizuri kwenye kura za uchaguzi Mkuu!? Mambo yote yawekwe hadharani bila woga wala kificho. Kama Malawi wameweza na Tanzania pia TUNAWEZA.
Mhhhh sijui aisee
Ila ikiwezekana hata alieshindwa hatokua na kinyongo
Kama DAB leo asemeje wkt kura kahesabu mwenyewe?
Weee NEC hawahawa au wa nchi jirani, kama u haguzo wa NEC ungekua wa CCM peke yake basi wangehesabu kama kigamboni, ila kumbuka kuna vyama pinzani, unataka mwenyekiti aaibike hadharani wewe
Kukata mzizi wa fitna walete kura za kielektronic tu mtu yupo simuiyu akipiga tu huku inasoma hapo ndio watasema maji mmaMagufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
Hilo mnalolitaka endeleeni nalo wale jamaa watakuja na mbinu zao(1) NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano | Page 3 | JamiiForums
Naam ndiyo hilo tunalolitaka la kuondoa KIWINGU.
Kukata mzizi wa fitna walete kura za kielektronic tu mtu yupo simuiyu akipiga tu huku inasoma hapo ndio watasema maji mma