Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nadhani humjui vizuri Tundu Lissu.Kama unavichukulia vitu juu juu na kwa jinsi anavyopangilia maneno yake, unaweza ukaamini kile anachokiongea ni sahihi. Lissu ni Mwanasheria mbobezi anajua jinsi ya kucheza na maneno na vifungu vya sheria kama ilivyo mahakamani ili kuweza kamshawishi hakimu akubaliane na hoja zake. Mbinu hiyo hiyo ndo anaitumia pia kuwashawishi watu huku nje wasiopenda kutafakari ili waamini anachoongea.
Nimesikiliza hoja za Lissu vizuri sana, kwanza anasema JPM hawakuwasilisha fomu za uteuzi siku iliyotakiwa kisheria. Lakini sote tulimuona JPM siku ile ya tarehe 25 ambayo ni ya uteuzi akiwa na fomu zake, sasa jiulize alienda kufanya nini pale Tume.
Lakini Hoja yake hii anaijenga pia kwenye uhakiki wa wadhamini, kwamba kwann wasimamizi wa uchaguzi ndo wahakiki wadhamini (membe pia wadhamini wake wamehakikiwa na hao wasimamizi wa Jimbo lakini cha ajabu hakumwekea pingamizi). Anarudi tena kusema kwamba tume ndo iliyotoa maelekezo kwa hao wasimamizi kuhakiki wadhamini katika kila jimbo lakini hapo hapo anasema maelekezo hayo yanapingana na sheria. Lakini hafafanui kwamba sheria hiyo ndo inairuhusu Tume kukasimu madaraka yake kwa kadri itakavyoona inafaa kwa wasimamizi wa uchaguzi bila kusema ni madaraka gani. Kwahiyo mpaka hapo utaona tume haikuvunja sheria. Lakini hata kama tume ingekua imevunja sheria kwa kuwapa mamlaka wasimamizi wa uchaguzi, unawezaje kumlaumu/kumuwekea pingamizi mgombea ambae alifuata maelekezo ya Tume.
Infact, Tundu Lissu aliweka mapingamizi siyo kwa maana ya mtego bali kwa kujihami kwasbb toka mwanzo alihisi atakatwa na Tume (Tweet ya mbowe siku moja kabla ya uchaguzi inathibitisha hili) . Baada ya kuona tume haikufanya hivyo, akajua CCM au chama kingine kinaweza kutumiwa kumuwekea pingamizi baada ya uteuzi. Kwsbb anajua zilikuepo sababu nyingi sana za kumuengua isipokua watu waliamua iwe fair play wamuache agombee na ili uchaguzi uende kwa amani.
Mwambie huyu kilaza wa Lumumba. Lissu kawaweka uchi mchana kweupe, badala wajisitiri wao wanadhidi kuharibu zaidi 😀Ww mtoto huwa unaniachaga hoi sana, hiki kinachokuliza na kutetea hapa, ndio kiliwafanya ccm wajitangazwe washindi kwa 90%+ uchaguzi wa SM. Mpaka sasa ccm imepita bila kupingwa kwa mbinu hizi hizi chafu, leo unaandika masentesi marefu bila kujiuliza mwanzo wa hizi drama ni nini. Mnatambia sheria za kipuuzi zenye nia ovu, zikigeuzwa kutumika dhidi yenu mnajifanya kutoa maelezo marefu yanayowafanya muonekane majuha.
Acheni kuropoka wekeni hapa majina ya walio ondolewa kijanja janjaMkuu umechukua akili yangu yote, nimeandaa uzi kama wako na sasa naufuta
Wagombea wa Chadema na ACT kwenye majimbo ambayo wasimamizi wamesema CCM wamepita bila kupingwa. Fuatilia utaona tu kwenye uzi mmoja wa mwana Lumumba mwenzakoAcheni kuropoka wekeni hapa majina ya walio ondolewa kijanja janja
Hizi ni story za vijiweniMkuu nadhani humjui vizuri Tundu Lissu.Kama unavichukulia vitu juu juu na kwa jinsi anavyopangilia maneno yake, unaweza ukaamini kile anachokiongea ni sahihi. Lissu ni Mwanasheria mbobezi anajua jinsi ya kucheza na maneno na vifungu vya sheria kama ilivyo mahakamani ili kuweza kamshawishi hakimu akubaliane na hoja zake. Mbinu hiyo hiyo ndo anaitumia pia kuwashawishi watu huku nje wasiopenda kutafakari ili waamini anachoongea.
Nimesikiliza hoja za Lissu vizuri sana, kwanza anasema JPM hawakuwasilisha fomu za uteuzi siku iliyotakiwa kisheria. Lakini sote tulimuona JPM siku ile ya tarehe 25 ambayo ni ya uteuzi akiwa na fomu zake, sasa jiulize alienda kufanya nini pale Tume.
Lakini Hoja yake hii anaijenga pia kwenye uhakiki wa wadhamini, kwamba kwann wasimamizi wa uchaguzi ndo wahakiki wadhamini (membe pia wadhamini wake wamehakikiwa na hao wasimamizi wa Jimbo lakini cha ajabu hakumwekea pingamizi). Anarudi tena kusema kwamba tume ndo iliyotoa maelekezo kwa hao wasimamizi kuhakiki wadhamini katika kila jimbo lakini hapo hapo anasema maelekezo hayo yanapingana na sheria. Lakini hafafanui kwamba sheria hiyo ndo inairuhusu Tume kukasimu madaraka yake kwa kadri itakavyoona inafaa kwa wasimamizi wa uchaguzi bila kusema ni madaraka gani. Kwahiyo mpaka hapo utaona tume haikuvunja sheria. Lakini hata kama tume ingekua imevunja sheria kwa kuwapa mamlaka wasimamizi wa uchaguzi, unawezaje kumlaumu/kumuwekea pingamizi mgombea ambae alifuata maelekezo ya Tume.
Infact, Tundu Lissu aliweka mapingamizi siyo kwa maana ya mtego bali kwa kujihami kwasbb toka mwanzo alihisi atakatwa na Tume (Tweet ya mbowe siku moja kabla ya uchaguzi inathibitisha hili) . Baada ya kuona tume haikufanya hivyo, akajua CCM au chama kingine kinaweza kutumiwa kumuwekea pingamizi baada ya uteuzi. Kwsbb anajua zilikuepo sababu nyingi sana za kumuengua isipokua watu waliamua iwe fair play wamuache agombee na ili uchaguzi uende kwa amani.
Imedhihirika Magu hatumii akili bali matope! Hii no aibu kwa NEC wapitie upya majina ya wagombea wa upinzani waliokatwa ili wawarudishe na watudanganye kwamba ilikuwa lazima kuyapitia!Mkuu umechukua akili yangu yote, nimeandaa uzi kama wako na sasa naufuta
Yaani kama thamthilia ya isidingo.Yaani umeeleza maelezo marefu ambayo yanajirudia rudia halfu hayana substance yoyote. Kwa mfano, hukuelezea ni vifungu vipi vya sheria ambavyo Lissu amevitumia kuweka mapingamizi halafu havikujibiwa na Tume au imeenda kinyume chake.
Hujaeleza ni vifungu vipi vya sheria ambavyo Tume ilikiuka wakati wa kuwaeungua wagombea wengine ambapo sasa kwa hoja za Lissu itabidi iwarejeshe. Andiko lako lipo kama hadithi isiyo na mwanzo wala mwisho.
Yale majimbo nyie si hamkurudisha fomu mlitaka tume ifuate fomu magetoni mwenu?Wagombea wa Chadema na ACT kwenye majimbo ambayo wasimamizi wamesema CCM wamepita bila kupingwa. Fuatilia utaona tu kwenye uzi mmoja wa mwana Lumumba mwenzako
Morogoro wagombea hawakurudisha fomu??? Devota Minja hakurudisha fomu???Yale majimbo nyie si hamkurudisha fomu mlitaka tume ifuate fomu magetoni mwenu?
Kwahiyo unachotuambia hapa ni kwamba tume haikufuata sheria kwasababu imemuacha Lissu aliyeikeuka sheria ya uchaguzi? Kwanini tume ifanye makosa hayo?Mkuu nadhani humjui vizuri Tundu Lissu.Kama unavichukulia vitu juu juu na kwa jinsi anavyopangilia maneno yake, unaweza ukaamini kile anachokiongea ni sahihi. Lissu ni Mwanasheria mbobezi anajua jinsi ya kucheza na maneno na vifungu vya sheria kama ilivyo mahakamani ili kuweza kamshawishi hakimu akubaliane na hoja zake. Mbinu hiyo hiyo ndo anaitumia pia kuwashawishi watu huku nje wasiopenda kutafakari ili waamini anachoongea.
Nimesikiliza hoja za Lissu vizuri sana, kwanza anasema JPM hawakuwasilisha fomu za uteuzi siku iliyotakiwa kisheria. Lakini sote tulimuona JPM siku ile ya tarehe 25 ambayo ni ya uteuzi akiwa na fomu zake, sasa jiulize alienda kufanya nini pale Tume.
Lakini Hoja yake hii anaijenga pia kwenye uhakiki wa wadhamini, kwamba kwann wasimamizi wa uchaguzi ndo wahakiki wadhamini (membe pia wadhamini wake wamehakikiwa na hao wasimamizi wa Jimbo lakini cha ajabu hakumwekea pingamizi). Anarudi tena kusema kwamba tume ndo iliyotoa maelekezo kwa hao wasimamizi kuhakiki wadhamini katika kila jimbo lakini hapo hapo anasema maelekezo hayo yanapingana na sheria. Lakini hafafanui kwamba sheria hiyo ndo inairuhusu Tume kukasimu madaraka yake kwa kadri itakavyoona inafaa kwa wasimamizi wa uchaguzi bila kusema ni madaraka gani. Kwahiyo mpaka hapo utaona tume haikuvunja sheria. Lakini hata kama tume ingekua imevunja sheria kwa kuwapa mamlaka wasimamizi wa uchaguzi, unawezaje kumlaumu/kumuwekea pingamizi mgombea ambae alifuata maelekezo ya Tume.
Infact, Tundu Lissu aliweka mapingamizi siyo kwa maana ya mtego bali kwa kujihami kwasbb toka mwanzo alihisi atakatwa na Tume (Tweet ya mbowe siku moja kabla ya uchaguzi inathibitisha hili) . Baada ya kuona tume haikufanya hivyo, akajua CCM au chama kingine kinaweza kutumiwa kumuwekea pingamizi baada ya uteuzi. Kwsbb anajua zilikuepo sababu nyingi sana za kumuengua isipokua watu waliamua iwe fair play wamuache agombee na ili uchaguzi uende kwa amani.
AiseeeeMkuu nadhani humjui vizuri Tundu Lissu.Kama unavichukulia vitu juu juu na kwa jinsi anavyopangilia maneno yake, unaweza ukaamini kile anachokiongea ni sahihi. Lissu ni Mwanasheria mbobezi anajua jinsi ya kucheza na maneno na vifungu vya sheria kama ilivyo mahakamani ili kuweza kamshawishi hakimu akubaliane na hoja zake. Mbinu hiyo hiyo ndo anaitumia pia kuwashawishi watu huku nje wasiopenda kutafakari ili waamini anachoongea.
Nimesikiliza hoja za Lissu vizuri sana, kwanza anasema JPM hawakuwasilisha fomu za uteuzi siku iliyotakiwa kisheria. Lakini sote tulimuona JPM siku ile ya tarehe 25 ambayo ni ya uteuzi akiwa na fomu zake, sasa jiulize alienda kufanya nini pale Tume.
Lakini Hoja yake hii anaijenga pia kwenye uhakiki wa wadhamini, kwamba kwann wasimamizi wa uchaguzi ndo wahakiki wadhamini (membe pia wadhamini wake wamehakikiwa na hao wasimamizi wa Jimbo lakini cha ajabu hakumwekea pingamizi). Anarudi tena kusema kwamba tume ndo iliyotoa maelekezo kwa hao wasimamizi kuhakiki wadhamini katika kila jimbo lakini hapo hapo anasema maelekezo hayo yanapingana na sheria. Lakini hafafanui kwamba sheria hiyo ndo inairuhusu Tume kukasimu madaraka yake kwa kadri itakavyoona inafaa kwa wasimamizi wa uchaguzi bila kusema ni madaraka gani. Kwahiyo mpaka hapo utaona tume haikuvunja sheria. Lakini hata kama tume ingekua imevunja sheria kwa kuwapa mamlaka wasimamizi wa uchaguzi, unawezaje kumlaumu/kumuwekea pingamizi mgombea ambae alifuata maelekezo ya Tume.
Infact, Tundu Lissu aliweka mapingamizi siyo kwa maana ya mtego bali kwa kujihami kwasbb toka mwanzo alihisi atakatwa na Tume (Tweet ya mbowe siku moja kabla ya uchaguzi inathibitisha hili) . Baada ya kuona tume haikufanya hivyo, akajua CCM au chama kingine kinaweza kutumiwa kumuwekea pingamizi baada ya uteuzi. Kwsbb anajua zilikuepo sababu nyingi sana za kumuengua isipokua watu waliamua iwe fair play wamuache agombee na ili uchaguzi uende kwa amani.
Mimi nilihisi usingz umenizidi na ninarudia kusoma paragraph mara mbili mbili, kumbe ni mtoa mada kaamua kujaza pages Kwa kufanya repeatition...Yaani kalisokota bandiko lake mpaka limekua kama puzzle. Ukisoma unaona tuu LISSU,TUME, WAGOMBEA.Yaani umeeleza maelezo marefu ambayo yanajirudia rudia halfu hayana substance yoyote. Kwa mfano, hukuelezea ni vifungu vipi vya sheria ambavyo Lissu amevitumia kuweka mapingamizi halafu havikujibiwa na Tume au imeenda kinyume chake.
Hujaeleza ni vifungu vipi vya sheria ambavyo Tume ilikiuka wakati wa kuwaeungua wagombea wengine ambapo sasa kwa hoja za Lissu itabidi iwarejeshe. Andiko lako lipo kama hadithi isiyo na mwanzo wala mwisho.
Mimi nilihisi usingz umenizidi na ninarudia kusoma paragraph mara mbili mbili, kumbe ni mtoa mada kaamua kujaza pages Kwa kufanya repeatition...Yaani kalisokota bandiko lake mpaka limekua kama puzzle. Ukisoma unaona tuu LISSU,TUME, WAGOMBEA.Yaani umeeleza maelezo marefu ambayo yanajirudia rudia halfu hayana substance yoyote. Kwa mfano, hukuelezea ni vifungu vipi vya sheria ambavyo Lissu amevitumia kuweka mapingamizi halafu havikujibiwa na Tume au imeenda kinyume chake.
Hujaeleza ni vifungu vipi vya sheria ambavyo Tume ilikiuka wakati wa kuwaeungua wagombea wengine ambapo sasa kwa hoja za Lissu itabidi iwarejeshe. Andiko lako lipo kama hadithi isiyo na mwanzo wala mwisho.
Kwani huko morogoro kuna watu walienguliwa kutokana na mapingamizi?!NEC wamewekwa kwenye mtego mgumu sana. Kule Morogoro na maeneo mengine hawana budi kufanya kama walivyofanya kwa Magufuli. Otherwise Kuna mabaya sana yatatokea kutoka kwa wananchi kwa kuamini CCM wanabebwa makusudi na wapinzani wanaonewa kwa makusudi!!
Pia Jumuiya ya Kimataifa nayo. Na hawa ndo wabaya zaidi maana mwaka huu hawana masikhara!!
Labda nikuulize unajua sababu ya Devota Minja kuenguliwa???!Mimi nilihisi usingz umenizidi na ninarudia kusoma paragraph mara mbili mbili, kumbe ni mtoa mada kaamua kujaza pages Kwa kufanya repeatition...Yaani kalisokota bandiko lake mpaka limekua kama puzzle. Ukisoma unaona tuu LISSU,TUME, WAGOMBEA.
Kwani huko morogoro kuna watu walienguliwa kutokana na mapingamizi?!
Nasikia hakupereka picha zikiwa na stamp ya chama kinachomdhamini.Labda nikuulize unajua sababu ya Devota Minja kuenguliwa???!
Nani kakwambia ?????? Unahamisha goli eeeh???? Picha alipeleka ila msimamizi akasema hazikubandikwaNasikia hakupereka picha zikiwa na stamp ya chama kinachomdhamini.