Uchaguzi 2020 NEC imecheza ngoma ya Tundu Lissu. Je, Wagombea walioenguliwa Ubunge Tume itawarudisha?


Ww mtoto huwa unaniachaga hoi sana, hiki kinachokuliza na kutetea hapa, ndio kiliwafanya ccm wajitangazwe washindi kwa 90%+ uchaguzi wa SM. Mpaka sasa ccm imepita bila kupingwa kwa mbinu hizi hizi chafu, leo unaandika masentesi marefu bila kujiuliza mwanzo wa hizi drama ni nini. Mnatambia sheria za kipuuzi zenye nia ovu, zikigeuzwa kutumika dhidi yenu mnajifanya kutoa maelezo marefu yanayowafanya muonekane majuha.
 
Mwambie huyu kilaza wa Lumumba. Lissu kawaweka uchi mchana kweupe, badala wajisitiri wao wanadhidi kuharibu zaidi 😀
 
NEC wamewekwa kwenye mtego mgumu sana. Kule Morogoro na maeneo mengine hawana budi kufanya kama walivyofanya kwa Magufuli. Otherwise Kuna mabaya sana yatatokea kutoka kwa wananchi kwa kuamini CCM wanabebwa makusudi na wapinzani wanaonewa kwa makusudi

Pia Jumuiya ya Kimataifa nayo. Na hawa ndo wabaya zaidi maana mwaka huu hawana masikhara!!
 
Acheni kuropoka wekeni hapa majina ya walio ondolewa kijanja janja
Wagombea wa Chadema na ACT kwenye majimbo ambayo wasimamizi wamesema CCM wamepita bila kupingwa. Fuatilia utaona tu kwenye uzi mmoja wa mwana Lumumba mwenzako
 
Hizi ni story za vijiweni

Fomu ya pingamizi ina sababu 17 tu
Hizo za kwako ni ndoto na maluweluwe kichwani

Mkuu punguza presha kunywa maji mengi asubuhi
 
Mkuu umechukua akili yangu yote, nimeandaa uzi kama wako na sasa naufuta
Imedhihirika Magu hatumii akili bali matope! Hii no aibu kwa NEC wapitie upya majina ya wagombea wa upinzani waliokatwa ili wawarudishe na watudanganye kwamba ilikuwa lazima kuyapitia!
 
Yaani kama thamthilia ya isidingo.
 
Wagombea wa Chadema na ACT kwenye majimbo ambayo wasimamizi wamesema CCM wamepita bila kupingwa. Fuatilia utaona tu kwenye uzi mmoja wa mwana Lumumba mwenzako
Yale majimbo nyie si hamkurudisha fomu mlitaka tume ifuate fomu magetoni mwenu?
 
Kaijage asipokuwa mwangalifu, miezi michache huko baadaye anaweza kujikuta ni chakula halali cha ICC endapo litatokea la kutokea.

ICC wakitinga timu, unaowabeba sasa watakuwa ndiyo wa kwanza kukutenga as if hawakujui.

Kaijage, Kaijage, Kaijage - bado unayo nafasi ya kuikwepa dhahma hii. play not only the correct cards but play them correctly!
 
Pengine ulikua na hoja nzito tatizo lako umeiwasilisha kibla blah tu.....rudi shule waachie wachambuzi wa amambo ya siasa na sheria hapa...
Ufipa bhana
 
Kwahiyo unachotuambia hapa ni kwamba tume haikufuata sheria kwasababu imemuacha Lissu aliyeikeuka sheria ya uchaguzi? Kwanini tume ifanye makosa hayo?
 
Aiseeee
 
Mimi nilihisi usingz umenizidi na ninarudia kusoma paragraph mara mbili mbili, kumbe ni mtoa mada kaamua kujaza pages Kwa kufanya repeatition...Yaani kalisokota bandiko lake mpaka limekua kama puzzle. Ukisoma unaona tuu LISSU,TUME, WAGOMBEA.
 
Mimi nilihisi usingz umenizidi na ninarudia kusoma paragraph mara mbili mbili, kumbe ni mtoa mada kaamua kujaza pages Kwa kufanya repeatition...Yaani kalisokota bandiko lake mpaka limekua kama puzzle. Ukisoma unaona tuu LISSU,TUME, WAGOMBEA.
Kwani huko morogoro kuna watu walienguliwa kutokana na mapingamizi?!
 
Labda nikuulize unajua sababu ya Devota Minja kuenguliwa???!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…