Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Tume ya uchaguzi hata ikiwakata wagombea wote wa vyama vya upinzani Tanzania nzima, hamna chochote mtakachowafanya chini ya ulinzi wa jemedari field marshal wanzuki MagufuliAmani ya Uchaguzi ipo mikononi mwa Tume. Shauri yenu Tume!
Macho kodo, kilichoenda kwa mganga hakirudi!Aibu tupu. Haya ndio madhara ya kujipendekeza kwa CCM bila kufuata kanuni na taratibu
Hii tume imejaa wapumbavu na wachimvi akiwemo mwenyekiti wao.
Atakuwa amerudi..Dogo wa Chadema wa Bukene amerudi?
..kwa kweli namuombea yule kijana ashinde.
cc Molemo, Erythrocyte
Yule mkurugenzi ni mhuni tu kama wahuni wengine.So far Tume inafanya vyema sana. Dr. Mahera ni mtu makini na bila shaka ataendelea keheshimu taaluma yake
Huyu atleast ana guts za kutengua walichoamua maDED. Zamani kidogo ilikuwa ndoto. DED akishapiga spanner, NEC huko juu walikuwa wanabariki tu. Mwaka huu kuna changes kidogo...angalau mpaka sasaYule mkurugenzi ni mhuni tu kama wahuni wengine.
Sijawahi kuona tume biased na ya kishenzi kama hii.
Ndo maana tunasema tume sio huru, mafanikio ya tume hayaweziHawawezi kuwarudisha wote kizembe hata wale waliochafua form kwa makusudi baada ya kula mpunga wa watu.
Lets wait and see baada ya uchambuzi kukamilika kwenye rufaa zote
Kwanza hakuna mgombea aliyeenguliwa kishenzi hivyo kwenye uchaguzi mkuu 2015 na chaguzi zingine za nyuma.Huyu atleast ana guts za kutengua walichoamua maDED. Zamani kidogo ilikuwa ndoto. DED akishapiga spanner, NEC huko juu walikuwa wanabariki tu. Mwaka huu kuna changes kidogo...angalau mpaka sasa
Mchukie kidogo mkuu, utaumia bule Wakati mwenzako tr 28 October atakuwa Ikulu tena, si utakonda kubeba kitu moyoni mwako Kwa miaka mitano zaidiMagu hafai kabisa nchi hii.
Inashangaza jinsi vijana nchi hii wanavyopenda kutawaliwa kimabavu na kikabila.Mchukie kidogo mkuu, utaumia bule Wakati mwenzako tr 28 October atakuwa Ikulu tena, si utakonda kubeba kitu moyoni mwako Kwa miaka mitano zaidi
Taaluma yake ni HisabatiSo far Tume inafanya vyema sana. Dr. Mahera ni mtu makini na bila shaka ataendelea kuheshimu taaluma yake