Kutokana na kuwana uenguliwaji mkubwa sana wa wagombea ubunge mwaka huu na baadhi yao kushinda rufaa huko NEC tujiulize je mchakato huu bado ni salama?
1.Kama tulivyoona wakati wa uchaguzi wa Kenya Odinga alikaata kwenda kwenye uchaguzi iwapo tume haitabadilika
HIVi kama mkurugenzi alimwengua mbunge kwa uonevu itamfanyia haki kwenye mchakato kweli?
Kumbuka pia uchaguzi wa marudio znz 2016
Je, waliorudishwa na NEC wanaweza kushinda?
Je, hata akishinda atatangazwa?
Je, akishindwa atakubaliana na matokeo?