Uchaguzi 2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

Uchaguzi 2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

Anaejua anifahamishe
Mbona Tunduma mwakajoka alipita tangu mwanzo alafu apo nalio jimbo lake na kampeni alianza muda mrefu au wanamaana gani kurudisha jimbo la tunduma
 
Nataka kujua waliowakata wagombea kwa hila wanachukuliwa hatua gani za kisheria!
 
Lazima wote warudishwe, hii inaonesha ndiyo ilikuwa makusudio yao ya kuwatengua halafu kurudisha wachache ili wabadilishe baadhi ya majimbo........huo ujanja umepitwa na wakati
 
Labda wanajaziwa.

Truth be told, kuna baadhi ya wapinzani wamefanya makosa ya kipuuzi sana. Kwa makusudi? We might never know.

Unaanzaje “kusahau” kupiga sahihi? Tarehe ya kuzaliwa unaweka 8 Sept 2020 kweli?CCM/DEDs/NEC wanatumia udhaifu huu kuwanyoosha
98% ya wagombea wa CCM ndio mbumbu kuanzia wabunge hadi madiwani,wengi wa wagombea was upinzani wanajiweza kiakiri Mara 99% kuzidi was upinzani sasa iweje mgombea was upinzani ndio asahau kuweka sahihi??? na hata kama amekosea kwa nini asiambiwe weka sahihi ambalo ni kitendo cha dakika 1.
 
Labda wanajaziwa.

Truth be told, kuna baadhi ya wapinzani wamefanya makosa ya kipuuzi sana. Kwa makusudi? We might never know.

Unaanzaje “kusahau” kupiga sahihi? Tarehe ya kuzaliwa unaweka 8 Sept 2020 kweli?CCM/DEDs/NEC wanatumia udhaifu huu kuwanyoosha
Watu wamegombea toka 2010 kweli wakosee kujaza fomu uchaguzi wa 3??

Pia fomu huwa zinahakikiwa kwanini wasikuonyeshe kosa u-edit?
 
Ndio Wapuuzi mnadanganyana
Wapuuzi wanadangnyana nini sasa hapo? Unataka kusema kama tume isipo tenda haki bado kutakua na amani? Labda huelewi mapana ya amani tu, lakini hapa wapuuzi hawajadanganyana chochote! Kwa mfano, tume ikimnyima mtu haki yake, huyo Mtu hatakua na amani!! Kwa hiyo kabla ya kufikiri kuna wapuuzi wamedanganywa, labda hata Wewe unajidanganya, na kama kudanganyika ndo tiketi ya kuingia upuuzini, basi Wewe upo vyumba vya ndani kabisa upuuzini!
 
Jambo la msingi na kubwa kuliko yote ni kubadilisha sheria ya uchaguzi na kanuni zake kuondoa kipengele cha kupita bila kupingwa.
Hiki kipengele kinatumiwa vibaya na watu waovu na kusababisha makosa ya jinai kama uvamizi, unyang'anyi, utekaji na rushwa.
Hakuna sababu na haikubaliki kuwa na sheria itakayochochea uhalifu.
Jambo la msingi kuliko yote ni kwenda kuwatimua kwenye ofisi yetu ya umma.

Ofisi zetu hazitakiwa kutiwa najisi na washenzi wanaojiita tume ya uchaguzi.

Haikubaliki.
 
Huyu atleast ana guts za kutengua walichoamua maDED. Zamani kidogo ilikuwa ndoto. DED akishapiga spanner, NEC huko juu walikuwa wanabariki tu. Mwaka huu kuna changes kidogo...angalau mpaka sasa

Hapana mwaka huu hakuna changes yoyote na walipanga kufanya mabaya zaidi ya hayo, kuna watu wamewakalia kooni! Ndio maana wanajifaragua kuachia kidogo kidogo. Tume ni wahuni kama wahuni wengine tu wa mitaani.
 
Hawawezi kuwarudisha wote kizembe hata wale waliochafua form kwa makusudi baada ya kula mpunga wa watu.

Lets wait and see baada ya uchambuzi kukamilika kwenye rufaa zote
Kwa hiyo wewe unaamini dhana ya kwamba wagombea wote wa CCM hawawezi kukosea siyo?
 
Tume ya uchaguzi hata ikiwakata wagombea wote wa vyama vya upinzani Tanzania nzima, hamna chochote mtakachowafanya chini ya ulinzi wa jemedari field marshal wanzuki Magufuli
Ni bahati mbaya sana kuwa na vijana wapumbavu kama wewe, unayedhani kwamba utawala wa sheria na haki siyo tena jambo la msingi na la kujivunia kwa nchi yetu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii tume imejaa wapumbavu na wachimvi akiwemo mwenyekiti wao.

Huwezi ukakaa na rufaa za wagombea siku 10 na kampeni zinaendelea kwenye majimbo husika.

Huku siyo kutenda haki ni kuwapumbaza wananchi kwamba wanatume wakati ni genge la wahuni tu.

Hii tume kama kweli tuna uchungu na nchi ni heri tukawafukuze wote kwenye ofisi yetu ya umma waende zao huko majumbani kwao.

Wasitufanye sisi ni wajinga.
Kwenye mabadiliko ya katiba yanayohitajika ni pamoja na kuweka bayana muundo na utendaji wa hii tume. Katiba itamke wazi kuwa moja ya kazi za tume iwe ni kusaidia wagombea kwenye ujazaji fomu, na kwamba kukosea kujaza kamwe halitakuwa kosa la mtu kukosa sifa. Pia fomu zijazwe na kutumwa kimtandao ili kuwatia adabu wanaofunga ofisi na wale wanao temper na hizo fomu.
 
Ni vyema warejeshwe tu wote, kupita bila kupingwa karne hii ya 21 ni kichekesho.
Tena hawa wanaopita bila kupingwa ingefaa wawekwe kundi moja na wabunge wa viti maalumu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hapana mwaka huu hakuna changes yoyote na walipanga kufanya mabaya zaidi ya hayo, kuna watu wamewakalia kooni! Ndio maana wanajifaragua kuachia kidogo kidogo.
Saa huu ukomavu inabidi uendelezwe mwanzo mwisho ili wasipate upenyo. Kuna majimbo CCM na NEC yao wanayataka kwa udi na uvumba
 
Fake tume , hakuna mambo yakupita bila kupingwa.......hapa utopololism.
 
Back
Top Bottom