Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Sawa acha haki itendeke kwa wagombea woteTwende na Membe 2020
Sawa lakini ni vema haki itendekeTupa kuleeee
Figisu mi naona hiziMbona wamemruka lisu na huku yeye ndo aliokuwa anafata kwa kujibu wa ratiba..??View attachment 1547638
bado 6 kakawamebaki wangapi?
Mbona wamemruka lisu na huku yeye ndo aliokuwa anafata kwa kujibu wa ratiba..??View attachment 1547638
I dont think that is possibleAs expected, watamfanyia figisu kumkata.
Hizi ni kutaka kumakata, kama ilivyotabiriwa na hotuba yake!bado 6 kaka
Amerukwa vipi Lissu?Membe ameitwa sasa na yupo kwenye jopo la uhakiki..who is next........
Nadhani akitoka ACT ndio CDM....lets waitChadema mbona hawaitwi?
Nadhani ni itifaki za tumeAmerukwa vipi Lissu?
Now why the delay? There is something fishy behind! Kaijage take care, itaitumbukiza nchi hii kwenye matatizo makubwa!I dont think that is possible
Why Lisu on hold? Wanataka kumkata Lisu, this was long said by observers!Mgombea urais wa ACT wazalendo mh Bernad Membe amerejesha fomu NEC na kukabidhiwa fomu za uteuzi.
Membe amesaini kwa kutumia mkono wa kushoto kama Barack Obama wa Merekani.
Source TBC!
Maendeleo hayana vyama!