Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Nimeona wengine yanarekebishwa hapo hapo kwa msaada wa Tume, nafikiri ili kuondoa utata wa aina yoyote ile.Mbelgiji form yake inamapungufu mengi ya makusudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona wengine yanarekebishwa hapo hapo kwa msaada wa Tume, nafikiri ili kuondoa utata wa aina yoyote ile.Mbelgiji form yake inamapungufu mengi ya makusudi.
Acha kuaminisha watu ujinga ambao hata familia yako Huwezi hata kuishawishi kutoa pua zao kwenda kupigania ugali wa TL.Tutaingia barabarani muda sio mrefu na mahandamano yasiyo na kikomo kuanzia leo.
Ruzuku!Vyama vya siasa vya nini sasa?
Ruzuku!
Wewe binafsi kwa mfano, mbunge au diwani anakusaidia nini?Inaonekana uelewa wako wa demokrasia ya uwakilishi ni giza totoro.
THUBUTUTutaingia barabarani muda sio mrefu na mahandamano yasiyo na kikomo kuanzia leo.
😂😂😅🤣🤣🤣 km mlivyoingia ktk yale maandamano ya da mange...Tutaingia barabarani muda sio mrefu na mahandamano yasiyo na kikomo kuanzia leo.
Umesema utahama nchi, umesahau Mara hii?Tutaingia barabarani muda sio mrefu na mahandamano yasiyo na kikomo kuanzia leo.
Tutamkata 28/10/2020As expected, watamfanyia figisu kumkata.
1. Kuisimamia na kuiadabisha serikali kwa niaba yangu wakati naendelea na shughuli zangu, 2. kuwasilisha maoni na mapendekezo yangu sehemu husika wakati naendelea na shughuli zangu.Wewe binafsi kwa mfano, mbunge au diwani anakusaidia nini?