Uchaguzi 2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

Now why the delay? There is something fishy behind! Kaijage take care, itaitumbukiza nchi hii kwenye matatizo makubwa!
😂😂😂😂 Ingia barabarani kamanda msikubali..

Kwani Kigogo anasemaje?
 
Tutaingia barabarani muda sio mrefu na mahandamano yasiyo na kikomo kuanzia leo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Inaelekea Rungwe na Lissu wamekatwa ?Rungwe nae alisema ataleta ubeche mashuleni isije ikawa imeonekana kama kampeni kabla ya muda.
Mbona kwenye uhakiki hakuna kipengele cha kampeni mapema dada
 
Wakuu kamanda wetu lissu, amefika wapi

Nina hasira kifuani, nahisi hilo jengo la nec nataman kulilipua kabisa
 
Someni ujumbe wa Mheshimiwa Lissu
Screenshot_20200825-150030_Instagram.jpg
 
Inaelekea Rungwe na Lissu wamekatwa ?Rungwe nae alisema ataleta ubeche mashuleni isije ikawa imeonekana kama kampeni kabla ya muda.
Kuna sheria ya kumuondoa mgombea kisa kaanza kampeni kabla ya muda?
 
Back
Top Bottom