Sijui kwa kweli. Ila mpaka sasa wamerukwa kwenye list. Au kwa vile wameonekana wanapendwa na wananchi?Kuna sheria ya kumuondoa mgombea kisa kaanza kampeni kabla ya muda?
Hawajamruka weweee. Hiyo ni typing error. Ilibidi awe wa mwisho.Mbona wamemruka lisu na huku yeye ndo aliokuwa anafata kwa kujibu wa ratiba..??View attachment 1547638
Haya tuletee yako isiyo na typing errorHawajamruka weweee. Hiyo ni typing error. Ilibidi awe wa mwisho.
Anayoitumia Justice Semistocles ndio sahihi. Unataka nyingine ipi?Haya tuletee yako isiyo na typing error
Ina maana ile sheria ya kumtaka mgombea awe amehudumu kwenye chama mwaka mmoja imekiukwa?wamebaki wangapi?
Hiyo sheria iko zanzibar tu,bara haikoIna maana ile sheria ya kumtaka mgombea awe amehudumu kwenye chama mwaka mmoja imekiukwa?