Uchaguzi 2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

Tutaingia barabarani muda sio mrefu na mahandamano yasiyo na kikomo kuanzia leo.
Acha kuaminisha watu ujinga ambao hata familia yako Huwezi hata kuishawishi kutoa pua zao kwenda kupigania ugali wa TL.
 
Wewe binafsi kwa mfano, mbunge au diwani anakusaidia nini?
1. Kuisimamia na kuiadabisha serikali kwa niaba yangu wakati naendelea na shughuli zangu, 2. kuwasilisha maoni na mapendekezo yangu sehemu husika wakati naendelea na shughuli zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…