Uchaguzi 2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Uchaguzi 2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Nilipenda sana.. wana CCM walivyokukuwa na.. utulivu na usikivu kama kawaida yao.. leo mbele ya viongozi wa tume..

Walidamushi sana Rais na Makamu wake..

Magufuli 2020💯
Hapo angekua lissu na makamanda wenzake, wangeanza kutoa vitisho kwa mwenyekiti wa tume yaani makelele na kauli za patachimbika. Lakini ccm wamekua na hekima sana. Watulivu na wazalendo.
 
Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?

Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...

Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.

Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.
Bro relax utaumiza kichwa bure kwa mambo yanayoendelea nchi hii
 
Magufuli ajitoe tu Kwenye Uchaguzi wa mwaka huu sababu hatashinda Uchaguzi na akilazimisha Nchi itaingia katika machafuko ya kisiasa na hatimae waburuzwe mahakamani kwa uhalifu dhidi ya binadam.
Who will win mkuu
 
Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?

Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...

Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.

Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.
Hakika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu tutasikia na kuona mengi. Kwa mfano wako technically[URL] umeweka Sera za ch...angu lini? Hivi ni kweli? Kwa sababu gani? Nk
 
December 2020- February 2021 kutakuwa na kesi yenye mvuto sana kwa wananchi ikihusu watendaji wa umma.
Kesi hiyo Mshtakiwa atakuwa Dr Ayub Rioba ya "Matumizi mabaya ya Ofisi ya Umma"
Huo utakuwa mwanzo tuu, zitakuwepo na zingine zitakazo wahusisha Sirro, Mambosasa, baadhi ya maDC, watumishi wa Tume wakiongozwa na jaji Kaijage nk.
Watu wakae chonjo
My frnd ur dreaming wisely.....
 
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.

M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Samia Suluhu kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM na kukabidhiwa seti za fomu na nyaraka muhimu kuwa kumbukumbu kwao.
Ni yeye pekee ndo kateuliwa ?Kina Lissu je ?Ila JPM kuteuliwa sio habari maana ilikuwa inafahamika lazima ateuliwe. The big habari ni Lissu je kateuliwa?
 
Vp umemaliza cku?mana yaonekana umekurupushwa
Acha uwongo.. munapenda kulalamika tu.

Upinzani wao banapenda Twitter.. baendelee.. ruzuku wamekula viongozi.. ofisi za kudumu za Chadema na wengine hawana.. hao sio watulivu.. ni wafanya fujo tu kushiba matumbo yao..

sera hawana.. hawavutii hata watu wa media.. wakitaka kusema ngonjera na mipasho.. ndiwo wanaita media na kuwaomba wafike.. walipo..

Tulia.. demokrasia.. sio kusingizia pande moja.. uwongo.. huku upinzani futi sita.. ni wao walivyo.. tena babaya sana.. matumbo mbele..
 
Hiyo live coverage inaendelea hadi kwa Lissu?
Hivi huyo mbwekaji mnamuona wa maana sana anastahili live coverage. Si akajikave live whatsapp.

Mpuuzi sana
 
Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?

Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...

Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.

Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.
Hivi wewe mtoto wako akianza kukutukana na kukuhubiri mabaya kwa majirani utaendelea kumujali Kama mtoto wako kweli au utamupuuza na kumuacha ajitegemee Sasa.

Tatizo tunasahau kuwa TBC Ni Chanel ya serikali sawa lakini hiyo serikali yote ipo chini ya CCM na inaendeshwa kwa ilani ya Chama Cha kijani. Hivyo Basi kuidhiaki CCM nisawa na kuidhiaki serikali.
 
TBC walipaswa kuwa live kwa wagombea wrote, kitendo cha kubagua sio saws.rai yangu time wawateue wagombea wrote wenye sifa.Umma utaamua kwenye sanduku LA kura.
Tatizo wewe Ni mrundi hivyo hujui lolote kuhusu Tanzania yetu.

Hebu mtafute Mtanzania Alie karibu yako ili akuandikie kiswahili kilicho fasahaa then ufute huo uhalo wako ulioandika maana haueleweki.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Morogoro, dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa.

Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.
Mwambie atoke kwa hawala yake huko alikojipeleka kutekenywa arejee fomu ili aingie ulingoni,, hatutaki Uoga wa kisiasa huu kwa kisingizio Cha kutekwa.

Mwambie mapenzi yapo tu Ila kurejea fomu Ni tukio linaghalimu miaka5 kujirudia Tena.
 
Back
Top Bottom