FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwani inabadilisha nini mgombea kuwa wa kwanza au wamwisho? Pigeni elimu ya uraia jinsi ya kupiga kura, tatizo menu kucha kutwa mnalalamika mitandaoni, fundisheni wanachama wenu jinsi ya kupiga kura!Aaaa Wap! Hii sababu haijitoshelezi hata kidogo, yaani wanataka kusema kuwa walikua wanaanda karatasi ya kupigia kura kufuatana na jinsi mgombea alivyowasilisha form!???
Ni sababu za kizamani kabisa, wenye akili wameshang'amua, hilo sio bure ni sehemu ya mkakati sababu hata Mgombea wa CCM hakuwa wa kwanza kupeleka form, hata Lissu aliwahi mapema tu lakini akakalishwa na kuhifadhiwa kwenye chumba mpaka saa moja usiku, alafu leo unakuja hadharani na kijisababu cha kumatamata kama hiki, watanzania wa leo sio wa jana!
Yaani mnakera mnavyolalamika!Ni leo tu au ndio utaratibu miaka yote huo? Maana angerudisha wa kwanza mngemuweka mwisha kwa kigezo cha herufi ya jina lake ‘T’ iko chini sana kwenye mtiririko wa alphabet
Hawa watu wanachekesha sana.Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya TUME.
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
kwahiyo walimweka mwisho ku justify kumweka mwisho kwenye karatasi!
Aisee Lazima utambue hiyo kitu sio ndogo kama unavyoichukulia wewe!Kwani inabadilisha nini mgombea kuwa wa kwanza au wamwisho? Pigeni elimu ya uraia jinsi ya kupiga kura, tatizo menu kucha kutwa mnalalamika mitandaoni, fundisheni wanachama wenu jinsi ya kupiga kura!
Tume ccmKwa hiyo ukiwa wa mwisho na tarakimu za jina lako zinajifuta kutoka A Hadi inasoma Z?
Tena ni mtu eti msomi aneyetoa ufafanuzi kwa wapiga kura.
Kama ndiyo hivyo hakuna faida ya kusoma.
Time Haina sababu ya kutupa ufafanuzi, kuna ile sababu waliyoema mgombea akifanya kosa jina lake litaondolewa kwenye orodha, nilihoji he hizi karatasi zitachapishwa mwisho wa kampeni?Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya TUME.
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Hata lingekuwa la kwanza hakuna kitu kingebadilika. Tundu nafasi ya kuwa Rais bado!
Ulitaka watoe sababu ipi mkuu uridhike?Sababu hazina mashiko hata kidogo
Tunashukuru kwa ufafanuziAkihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Kuchunguza namna Ubongo wa vijana wa Chadema unavyofanya kazi, ni kazi moja ngumu kuwahi kutokeaAaaa Wap! Hii sababu haijitoshelezi hata kidogo, yaani wanataka kusema kuwa walikua wanaanda karatasi ya kupigia kura kufuatana na jinsi mgombea alivyowasilisha form!???