NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

Aaaa Wap! Hii sababu haijitoshelezi hata kidogo, yaani wanataka kusema kuwa walikua wanaanda karatasi ya kupigia kura kufuatana na jinsi mgombea alivyowasilisha form!???
Ni sababu za kizamani kabisa, wenye akili wameshang'amua, hilo sio bure ni sehemu ya mkakati sababu hata Mgombea wa CCM hakuwa wa kwanza kupeleka form, hata Lissu aliwahi mapema tu lakini akakalishwa na kuhifadhiwa kwenye chumba mpaka saa moja usiku, alafu leo unakuja hadharani na kijisababu cha kumatamata kama hiki, watanzania wa leo sio wa jana!
Kwani inabadilisha nini mgombea kuwa wa kwanza au wamwisho? Pigeni elimu ya uraia jinsi ya kupiga kura, tatizo menu kucha kutwa mnalalamika mitandaoni, fundisheni wanachama wenu jinsi ya kupiga kura!
 
Huyo hata angewekwa wa kwanza tungemchinja tu

Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa nchi
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya TUME.

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
Hawa watu wanachekesha sana.
 
Kwani inabadilisha nini mgombea kuwa wa kwanza au wamwisho? Pigeni elimu ya uraia jinsi ya kupiga kura, tatizo menu kucha kutwa mnalalamika mitandaoni, fundisheni wanachama wenu jinsi ya kupiga kura!
Aisee Lazima utambue hiyo kitu sio ndogo kama unavyoichukulia wewe!
Watanzania wengine hawana elimu, kuna wasiojuwa kusoma, hivyo kulitafta jina la Mgombea ni kazi kidogo, Lakini kama mgombea jina lake ni la kwanza wewe huoni ni rahisi tu mtu akafika chumba cha kwanza na kutia alama ya tik hata bila kusoma??
 
Kwa hiyo ukiwa wa mwisho na tarakimu za jina lako zinajifuta kutoka A Hadi inasoma Z?
Tena ni mtu eti msomi aneyetoa ufafanuzi kwa wapiga kura.
Kama ndiyo hivyo hakuna faida ya kusoma.
Tume ccm
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya TUME.

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
Time Haina sababu ya kutupa ufafanuzi, kuna ile sababu waliyoema mgombea akifanya kosa jina lake litaondolewa kwenye orodha, nilihoji he hizi karatasi zitachapishwa mwisho wa kampeni?

Ilipotoka karatasi husika na kuna liko mwisho nikajua wamerahisisha kuikata karatasi na wasiathiri orodha ya majina mengine, kumbukumbu ya walivyokuwa wanaitwa bado tunayo.
 
Sababu hazina mashiko hata kidogo
Ulitaka watoe sababu ipi mkuu uridhike?
😂😂
Sjawahi kufauru mtihani wa kujua bongo za vijana wa Chadema

Sjui ni vichaa na wendwazimuuu..ama ni wazima!!

Mungu saidia hawa wenzetu angalau wajitambue kuwa nao ni binadamu
 
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.

Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume

Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.

Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.

Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe

Byabato
Bukoba.
Tunashukuru kwa ufafanuzi
 
Aaaa Wap! Hii sababu haijitoshelezi hata kidogo, yaani wanataka kusema kuwa walikua wanaanda karatasi ya kupigia kura kufuatana na jinsi mgombea alivyowasilisha form!???
Ni sababu za kizamani kabisa, wenye akili wameshang'amua, hilo sio bure ni sehemu ya mkakati sababu hata Mgombea wa CCM hakuwa wa kwanza kupeleka form, hata Lissu aliwahi mapema tu lakini akakalishwa na kuhifadhiwa kwenye chumba mpaka saa moja usiku, alafu leo unakuja hadharani na kijisababu cha kumatamata kama hiki, watanzania wa leo sio wa jana!
Kuchunguza namna Ubongo wa vijana wa Chadema unavyofanya kazi, ni kazi moja ngumu kuwahi kutokea

Unadhani wangetoa sababu ipi Ili uridhike?
 
Hata Daudi alipakwa mafuta kuwa mfalme mwishoni kabisa.

Hawa NEC si ndio walitoa ratiba ya kwenda kuchukua form na kuzirejesha? Hawaoni kwamba bado wanajikaanga kwamba walipanga hivyo kwa makusudi?
 
Back
Top Bottom