Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Hii taarifa ingekuwa na uzito kama ingetolewa kabla ya kuwateua au mara baada ya kuwateua. Na kama barua ilikuwepo, Esther Matiko alipohojiwa angesema Katibu Mkuu wake, sio Mamlaka husika. Inafanya watu wakumbuke mambo yalivyokuwa Ubungo.

Amandla...
Mkuu uko vizuri kwenye reasoning. Tatizo hili limekaa tofauti na walivyofikiri, sasa kila kinachotengenezwa kinaacha maswali.
 
Unaelewa kuwa sheria inakataza kupeleka NEC jina la viti maalum ambae yupo mahabusu tena kwa kesi ambayo haina dhamana?Kwa nini NEC wapokee jina la mtu ambae yupo mahabusu kwa kesi ambayo haina dhamana?
Mchakato mzima una maswali mengi yasiyojibika.
 
Inaonekana kuna wakati hukuwa hewani kwenye kufuatilia haya mambo au kiasi fulani hujui. Kumbuka asilimia kubwa ya hao walioapa walikua wagombea wa majimbo. Ingekuwaje majina yapelekwe mapema wakati wa kampeni na wakati huo huo wako majimboni?
 
NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.


Kwanini tume na CDM wasishirikiane pamoja kumfahamu mhalifu aliyehusika na ghushi hiyo bila kujali ni kutokea tume au CDM?

Tume haioni kuwa inapakwa matope na sasa ni mtuhumiwa wa hii ghushi?

Si kuwa wanaohangaika kuwasimika wabunge hawa magumashi wana cha kufanya na hii ghushi?
 
Nadhani labda utupe utaratibu wa huyu wa kutoka gerezani Singida alifikaje Dodoma? (ukiachilia mbali mchakato wa kutolewa, maana hilo najua hutoweza kutoa majibu). Labda huyo ndiye anasemwa kusafirishwa na TISS kwenda Dodoma kuapa.
 
Nadhani labda utupe utaratibu wa huyu wa kutoka gerezani Singida alifikaje Dodoma? (ukiachilia mbali mchakato wa kutolewa, maana hilo najua hutoweza kutoa majibu). Labda huyo ndiye anasemwa kusafirishwa na TISS kwenda Dodoma kuapa.
Boss hakuna kitu tiss imefanya trust me
 
Kweli nimeshaanza kuwaamini CDM 100% kwenye hili,Tume wanasema CDM walipeleka majina tarehe 19 wakati huo huo kupitia chombo kimoja cha habari siku iliyofuata yaani tarehe 20 tume ilikana kupokea majina kutoka CDM.Hapa tume inawalakini.
Bado kuna watu hawatakuelewa.
 
Walipokataa ilikuwa lini na majina wamepelekewa lini?

Kawaulize, hufahamu ofisi zao? Utapata majibu yoote na ya kura za maruhani, wachapishaji maruhani, wapigaji maruhani, Viti Maalum maruhani nk
 
Wewe unafanya nini hapa, si unapiga kelele pia!

Hujalazimishwa kusoma michango ya watu.
Nasoma mawazo yenu mfu
Wazee wa kudai mambo ambayo mnajua hayawez kutekelezwa
 
Ile iliyokana kupokea majina ni NEC,
Hii iliyopokea majina tarehe 19/11/2020 ni Tume, huoni hata matamshi ni tofauti kabisa hapo mkuu.
Uko serious??? Au unatania. Hivi NEC ni nini kwako? Nadhani labda lugha yako sijaipata, hapa lazima ni joke hii.
 
Nyie mapimbi wakati Mnyika anawasisha majina hamkuchukua hata vidio ? Njia muongo fupi Sana tilioni mbili za wafadhili wanajua kila kinachoendelea hazitoki jamani .
 
Nyie mapimbi wakati Mnyika anawasisha majina hamkuchukua hata vidio ? Njia muongo fupi Sana tilioni wafadhili wanajua kila kinachoendelea hazitoki jamani .
Akili yako ndio imeishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…