Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Umeelewa hii hoja?

Mkuu kimahakama kutoa order yoyote ni case proceeding hiyo. Hivyo removal order ikitolewa lazima iwe documented kwenye kesi husika hivyo huo ni uendeshaji wa kesi unless if you are not used to!!
 
Mkuu kimahakama kutoa order yoyote ni case proceeding hiyo. Hivyo removal order ikitolewa lazima iwe documented kwenye kesi husika hivyo huo ni uendeshaji wa kesi unless if you are not used to!!

Hebu tupe dharula iliyopelekea hitimisho hilo.... kutoa mtu usiku?
 
Hivi, wangeheshimu kura zilizopigwa na Watz purukushani hizi za kijinga zingetokea? Yaani inafkia hatua tume/sirkal inaghushi ili kuhalalisha haram iwe halali!!!
 
Hebu tupe dharula iliyopelekea hitimisho hilo.... kutoa mtu usiku?
Nenda kawaulize mahakama. Mwanzo ulikuwa unabisha kuwa mahakama haiwezi keti baada ya muda wa kazi wa kawaida sasa unakuja kivingine. Kama umeelewa kuwa mahakama inaweza keti baada ya muda wa kawaida wa kazi then I am done!
 
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Hebu tujiulize swali moja jepesi, kama kweli walipokea fomu toka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, tarehe 19/11/2020, iweje sasa liwemo jina Nasrat Hanje, aliyekuwa gerezani na kutolewa kwa amri ya DPP tarehe 23/11/2020?

Je Mkurugenzi Mahera anataka kutuaminisha kuwa alipopokea majina 19 tarehe 19/11/2020 je alipokea na jina la Nasrat Hanje?

Nyinyi maccm sasa hivi mmekubuhu, hadi "mnafoji" sahihi ya Mnyika?
 
Nenda kawaulize mahakama. Mwanzo ulikuwa unabisha kuwa mahakama haiwezi keti baada ya muda wa kazi wa kawaida sasa unakuja kivingine. Kama umeelewa kuwa mahakama inaweza keti baada ya muda wa kawaida wa kazi then I am done!

Kwahiyo unabisha usichokijua? Silly
 
Wale wanawake mliosema jana wamepangwa lumumba ili leo wavae mashati ya CDM wabebe mabango ya kutaa mfumo dume katika kikao chenu Cha leo vipi walikuja?
 
Naona unauliza swali la kitoto sana! Alienda kutolewa jioni/usiku ili aweza kuwahi kuapa Dodoma kesho yake! What is the issue here!!??
Ngoja nimsaidie
The issue ni je alijazaje fomu akiwa jela? Na Je ni lini alienda mahakamani kupiga mihuri?
 
Je Kamera za NEC zinamuonyesha Mnyika JJ akiingia Ofisini kwao kupeleka Barua Tarehe 19/11/20??? Au zimeondolewa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…