Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Umebaki kulialia hapa Jf chukua maamuzi dogo.Unaondoa zuio usiku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebaki kulialia hapa Jf chukua maamuzi dogo.Unaondoa zuio usiku?
Mkuu kimahakama kutoa order yoyote ni case proceeding hiyo. Hivyo removal order ikitolewa lazima iwe documented kwenye kesi husika hivyo huo ni uendeshaji wa kesi unless if you are not used to!!
Haya sasa!NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Mkuu kimahakama kutoa order yoyote ni case proceeding hiyo. Hivyo removal order ikitolewa lazima iwe documented kwenye kesi husika hivyo huo ni uendeshaji wa kesi unless if you are not used to!!
Kwa hiyo mnyika ndo alipeleka na jina la hiyo aliyekuwa mahabusu? Kazi kwel
Nenda kawaulize mahakama. Mwanzo ulikuwa unabisha kuwa mahakama haiwezi keti baada ya muda wa kazi wa kawaida sasa unakuja kivingine. Kama umeelewa kuwa mahakama inaweza keti baada ya muda wa kawaida wa kazi then I am done!Hebu tupe dharula iliyopelekea hitimisho hilo.... kutoa mtu usiku?
Hebu tujiulize swali moja jepesi, kama kweli walipokea fomu toka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, tarehe 19/11/2020, iweje sasa liwemo jina Nasrat Hanje, aliyekuwa gerezani na kutolewa kwa amri ya DPP tarehe 23/11/2020?Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Nenda kawaulize mahakama. Mwanzo ulikuwa unabisha kuwa mahakama haiwezi keti baada ya muda wa kazi wa kawaida sasa unakuja kivingine. Kama umeelewa kuwa mahakama inaweza keti baada ya muda wa kawaida wa kazi then I am done!
Naona unauliza swali la kitoto sana! Alienda kutolewa jioni/usiku ili aweza kuwahi kuapa Dodoma kesho yake! What is the issue here!!??Kwahiyo unabisha usichokijua? Silly
Uhuni tu huo unaofanywa na akina mahera na wenzake!NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Kwani sheria ya Uchaguzi inasemaje?Kwa hiyo wewe wa mtaanibpale ufipa unajua zaidi ya NEC wenyewe?
hovyo sana nyie, mshapigwa chenga ya mwili hapo...
Ngoja nimsaidieNaona unauliza swali la kitoto sana! Alienda kutolewa jioni/usiku ili aweza kuwahi kuapa Dodoma kesho yake! What is the issue here!!??
Mwanzo walikataa wakamuachia mpira Ndugai aseme amepata wapi majina!Aliyekataa si huyo Nec hadharani
Tuwaamini wanaokwiba kura! Tutakuwa tumerogwa.Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Barua muhimu hapa ni yakutoka Chadema na si ya NEC. Kama wanachosema ni cha kweli walitakiwa waweke ushahidi toka Chadema na si toka kwao.NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.