Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Siasa kichekesho sana, leo ndugai wa kumtetea halima kweli???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usemacho ni kweli lakini kwa nchi hii haiwezekani wakatolewa. Tujizoeze kuishi nao kama tunavyoishi na Covid 19 maisha yaendeleeHili sakata la wabunge wa kuchonga wa viti maalum 19 mchakato wake hadi lilipofikia hatima yake Jana kwa kufukuzwa na chama tulicho aminishwa kuwa kimewadhamini ni kufanya kukosa sifa ya msingi ya kuwa wabunge, linatosha kabisa kwa Spika na DG wa NEC Kujiuzulu kulinda heshima ya ofisi wanazo tumikia...
Chadema walitoa ushirikiano upi?Bila Ushirikiano kutoka CHADEMA hili lisingefanikiwa usisahau tatizo halisi kwa kutafuta wa kumlaumu
Barikiwa mkuu, Tanzania kwanza.Kupitia aina ya madudu na upambavu wakati na baada ya uchaguzi sijivunii uanachama na upenzi wa ccm, serikali na nchi hii, Ni ushamba, upambavu, ubabe wa kijima, ni aibu na huzuni kubwa sana sana. Ubabe na dhuluma za kishamba ni sumu kwa Taifa...
Waiweke hadharani hiyo barua ya mnyika kama kweli wanayoNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Wewe ni snitch kinyama.Wafia vyama. Esther Matiko mke wa Mwalimu yule mgombea mwenza. Eti kaenda bungeni bila mmewe kujua. Mbowe wote hao wanajua sana na wapo Ok.
Sema wanaplay games ili kuwapoza wafia vyama ambao hajawahi hata faidika na Chadema. Mbowe anaingiza ruzuku tu. Mimi ndo maana nasema wote wawe Chadema,CCM .....etc. Tanzania ndo chama langu. Kura nitampigia mtu na siyo sababu ya chama chake.
Kwanini tume na CDM wasishirikiane pamoja kumfahamu mhalifu aliyehusika na ghushi hiyo bila kujali ni kutokea tume au CDM?
Tume haioni kuwa inapakwa matope na sasa ni mtuhumiwa wa hii ghushi?
Si kuwa wanaohangaika kuwasimika wabunge hawa magumashi wana cha kufanya na hii ghushi?
Hao hao NEC tarehe 20/11/2020 walisema kufikia muda huo walikuwa hawajapokea majina kutoka Chadema. Unaweza kuona screenshot ya picha hapa chiniUmesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
Kwanza unatakiwa ujue hakuna mtu anaeitwa Chadema ... Chadema ni taasisi hao BAWACHA ndio Chadema ninao wazungumziaChadema walitoa ushirikiano upi?
Hawa washenzi wasiachwee. Siku moja ni lazima wawajibishwe mbele ya sheria.Majna yanawasilishwa kwa fomu, si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Inawezekana ilipokelewa tarehe 19/11/2020 lakini ilikuwa haijawafikia wakubwa ilikuwa bado iko kwa junior staff!Hao hao NEC tarehe 20/11/2020 walisema kufikia muda huo walikuwa hawajapokea majina kutoka Chadema. Unaweza kuona screenshot ya picha hapa chini
View attachment 1636507
Link ya taarifa ya habari youtube ni
Halafu jana wanakana maneno yao wenyewe wanasahau kuwa kuna video walirekodiwa. Tarehe 20/11/2020 walisema hawajapokea majina halafu leo wanatuambia walipokea majina tarehe 19/11/2020. Bado unajitoa ufahamu kwa kujifanya huoni kama NEC wanacheza mchezo?
Na nani?Hawa washenzi wasiachwee. Siku moja ni lazima wawajibishwe mbele ya sheria.
Na waTanzania.Na nani?