Kabisa mkuu ,hakuna haja ya kupoteza fedha za walipa kodi kijinga, hizo fedha NEC walizobakiza wazirudishe hao waliopendekezwa na CCM wapitishwe bila kupingwa.Waliopitishwa kwenye kura za maoni huko CCM, watangazwe na hii Tume ya Mkurugenzi Mahela kuwa ndio madiwani. Hakuna mjinga wa kwenda kupoteza muda wake kwenye haya maigizo.
Ni jambo jema!Tume ya Taifa ya uchaguzi(NEC) imetangaza uchuzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kata husika zinafanya uchaguzi mdogo kutokana na sababu mbalimbali zilizosababisha uchaguzi usifanyika wakati wa uchaguzi mkuu Octoba 28, 2020.
View attachment 1626034
View attachment 1626035
Hakuna ACT wala CHADEMA au CHAUMA ambapo watapeleka mgombea labda wawape TLP,UDP,ADC au ADA TADEA.Ni jambo jema!
Huko wawaachie Chadema nao waambulie kidogo!
Nakwambia hata CCM wenyewe hawataenda labda tu wale wachache wenye masilahi.Uhuni uliotokea uchaguzi wa juzi, sioni tena Watanzania kwa wingi wao kujitokeza kupiga kura, kuanzia sasa na kuendelea. CCM watajitokeza, nao ni kwa uchache sana maana wao ni wafaidika wa huo wizi.
Nendeni mkagawane na hivyo vilivyobaki ili watu wasikose maendeleo.Ni jambo jema!
Huko waachiwe CHADEMA nao waambulie kidogo!
Pitisheni CCM. Hakuna chama Cha upinzani kitakachochukua fomu. Hakuna watu wa kupoteza mudaTume ya Taifa ya uchaguzi(NEC) imetangaza uchuzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kata husika zinafanya uchaguzi mdogo kutokana na sababu mbalimbali zilizosababisha uchaguzi usifanyika wakati wa uchaguzi mkuu Octoba 28, 2020.
View attachment 1626034
View attachment 1626035
Nakwambia hata CCM wenyewe hawataenda labda tu wale wachache wenye masilahi..
Tunajua hamtashiriki lakini formalities lazima zifuatwe ili mkose pa kukimbilia. Chezea CCM wewe!Waliopitishwa kwenye kura za maoni huko CCM, watangazwe na hii Tume ya Mkurugenzi Mahela kuwa ndio madiwani. Hakuna mjinga wa kwenda kupoteza muda wake kwenye haya maigizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata hawa wabunge wa kulazimisha watokosa watu wa kuwasikiliza wakiitisha mikutano kwenye majimbo yao.Kabisa, halafu hili jambo la kutokupiga kura litadumu kwa muda mrefu, hadi mfumo wa kupiga kura ubadilike ikiwemo kupatikana tume huru. Madhara yake ni kuwa na viongozi wasio na ridhaa ya umma, ambayo itapelekea viongozi kukosa support ya umma, hivyo watatengeneza sheria kandamizi ili kuufanya umma kuwakubali kwa shuruti.
Nakumbuka mtendaji wetu aliyepatikana kwa ule uchaguzi fake wa SM aliitisha kikao mwezi wa saba, watu walijitokeza wachache sana mpaka ikabidi kikao kiahirishwe. Nasikia anaongea kwa jazba kuwa, kama watu hawajitokezi yeye hajali ataendelea na shughuli zake, hao wananchi wakawasikilize CHADEMA kama wana uhalali. Kwa sasa hili Bunge litapoteza mvuto kabisa kama ilivyo TBC1 na gazeti la Uhuru. Watajaribu kufanya hoja za kulazimisha kuvuta watu, lakini sioni wakipata mvuto huo.
Chama cha kutegemea dola!Tunajua hamtashiriki lakini formalities lazima zifuatwe ili mkose pa kukimbilia. Chezea CCM wewe!!!
CHADEMA iliyotegemea wahuni wa mtandaoni imeishia wapi?Chama cha kutegemea dola!
Kusema amejenga kiwanja cha ndege kijijini kwake kwa fedha za umma ndio tusi au kusema serikali yake inaongoza kwa kuteka watu na kuwauwa nalo ni tusi.Haya Lissu sasa arudi apate jukwaa la kumtukana Magu tena