Ni kweli kabisa wapinzani wametucheleweshea maendeleo ,kwasasa bungeni 99.9% ni CCM hakika ndani ya miaka mitano TANZANIA inakuwa kama "URAYA" na Arusha inaenda kuwa "KALIFONYA".
Jimbo la kawe mafuriko ndio yashaisha tena maana kwasasa GWAJIMA amepewa JIMBO na MTU FURANI.
Tutanunua midege mitano ,tunanunua mimeli minane ,tunaunganisha wailaya zote kwa barabara za lami yaani mpaka 2025 TZ inakuwa "URAYA" ,Uchaguzi wa 2025 yaani CCM hawatofanya kampeni maana maendeleo yatakuwa sio ya KITOTO watapata 100%.