Ameua mwananchi gani?Kusema amejenga kiwanja cha ndege kijijini kwake kwa fedha za umma ndio tusi au kusema serikali yake inaongoza kwa kuteka watu na kuwauwa nalo ni tusi.
Kwa nini sasa anauwa wananchi anaopaswa kuwaongoza.
Matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.Tume ya Taifa ya uchaguzi(NEC) imetangaza uchuzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kata husika zinafanya uchaguzi mdogo kutokana na sababu mbalimbali zilizosababisha uchaguzi usifanyika wakati wa uchaguzi mkuu Octoba 28, 2020.
View attachment 1626034
View attachment 1626035
Kwamba Magufuli amesema hatapeleka mradi wa maji Tunduma endapo hawatamchagua Silinde ni tusi; au kusema amewatishia wakurugenzi ambao watawatangaza wapinzani wameshinda uchaguzi kwa sababu yeye Magufuli ndiye anawalipa mishahara na kuwapa nyumba na magari ni tusi?Kusema amejenga kiwanja cha ndege kijijini kwake kwa fedha za umma ndio tusi au kusema serikali yake inaongoza kwa kuteka watu na kuwauwa nalo ni tusi.
Kwa nini sasa anauwa wananchi anaopaswa kuwaongoza.
Hujasikia kuuawa kwa watu 13 huko Pemba kisa uchaguzi?Ameua mwananchi gani?
Inawezekana hata yule anaitwa mazuruwi ameshafariki,wanangojea hali ipoe wamkabidhi maana hata wanasheria wameenda kumwona basi wametimuliwa na kuambiwa hawawezi kumuona yakaitwa magari kama yote ya polisi ili kujiandaa kwa tahruki kama watu wataleta fujo.ila mazrui hakuonekana na habari ndio hivyo polisi wametupiwa mpira.Hujasikia kuuawa kwa watu 13 huko Pemba kisa uchaguzi?
Wapiga kura wa kweli wataenda kupiga kura lakini wale washabiki wa mikutano ya kina Lissu hawataenda kupiga kuraWaliopitishwa kwenye kura za maoni huko CCM, watangazwe na hii Tume ya Mkurugenzi Mahela kuwa ndio madiwani. Hakuna mjinga wa kwenda kupoteza muda wake kwenye haya maigizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa wapinzani wametucheleweshea maendeleo ,kwasasa bungeni 99.9% ni CCM hakika ndani ya miaka mitano Tanzania inakuwa kama Ulaya na Arusha inaenda kuwa CaliforniaNendeni mkagawane na hivyo vilivyobaki ili watu wasikose maendeleo.
Kweli kabisa hakuna mjinga Kama wewe wa kufanya hivyo. Punguani wa head weweWaliopitishwa kwenye kura za maoni huko CCM, watangazwe na hii Tume ya Mkurugenzi Mahela kuwa ndio madiwani. Hakuna mjinga wa kwenda kupoteza muda wake kwenye haya maigizo.
Kama kuandika hujui ndio waweza kuwa na mtazamo chanya kweli?Ni kweli kabisa wapinzani wametucheleweshea maendeleo ,kwasasa bungeni 99.9% ni CCM hakika ndani ya miaka mitano TANZANIA inakuwa kama "URAYA" na Arusha inaenda kuwa "KALIFONYA".
Jimbo la kawe mafuriko ndio yashaisha tena maana kwasasa GWAJIMA amepewa JIMBO na MTU FURANI.
Tutanunua midege mitano ,tunanunua mimeli minane ,tunaunganisha wailaya zote kwa barabara za lami yaani mpaka 2025 TZ inakuwa "URAYA" ,Uchaguzi wa 2025 yaani CCM hawatofanya kampeni maana maendeleo yatakuwa sio ya KITOTO watapata 100%.
Haya Lissu sasa arudi apate jukwaa la kumtukana Magu tena
Hapana. Kwenye hizi chaguzi wapinzani mtashinda, mpende msipende.Waliopitishwa kwenye kura za maoni huko CCM, watangazwe na hii Tume ya Mkurugenzi Mahela kuwa ndio madiwani. Hakuna mjinga wa kwenda kupoteza muda wake kwenye haya maigizo.
Tumechoka.Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchuzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kata husika zinafanya uchaguzi mdogo kutokana na sababu mbalimbali zilizosababisha uchaguzi usifanyika wakati wa uchaguzi mkuu Octoba 28, 2020.
View attachment 1626034
View attachment 1626035
Poa tuTunajua hamtashiriki lakini formalities lazima zifuatwe ili mkose pa kukimbilia. Chezea CCM wewe!!!
Wampe J.MbatiaWawape CCM hizo nafasi
Azory Gwanda, Ben saanane, na wengine kibao waliokuwa wakiokotwa kwenye mifuko ya safleti baharini na mitoniAmeua mwananchi gani?
Huo ndio ukweli japo vibaraka wa utawala wa kiimla hawawezi kukubali.Misukule Kama nyie ndio chanzo Cha umasikini na mikosi nchini