NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

Kweli kabisa hakuna mjinga Kama wewe wa kufanya hivyo. Punguani wa head wewe

Ni hivi, ule uchaguzi wa juzi ndio rasmi umemaliza dhamira za watu kwenda kupiga kura, hata kwa wale tulioenda kupiga kura kwa shingo upande. Hakuna tena mtu anayejitambua ataenda kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi, kwa muundo huu wa tume, na matokeo kupangwa na vyombo vya dola.
 
VIPI mngeshinda! ?
 
Kama kuandika hujui ndio waweza kuwa na mtazamo chanya kweli?
Nimekosea nini mkuu kwenye uandishi wangu? Nipe elimu mkuu ili nijifunze!!! 2020-2025 hakuna wapinzani hivyo maendeleo yatakuwa makubwa sana maana wapinzani walitucheleweshea sana maendeleo.
 
Hii NEKI watakuwa ni wachawi tu, nani apoteze muda, damu mliyokwisha kuinywa haitoshi? kwa nni msitangaze ccm wajaze hizo nafasi?
 
Haya matumizi mabovu ya fedha za umma nani anayaratibu? Si watangaze tu kwamba CCM wamepita vila kupingwa ili kusiwe na gharama za kuchaposha makaratasi pamoja na gharama za wasimamizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…