Magufuli ni nuksi kea taifa na hana kura hata akiwapa watoto. Vipalata anaowa Somba kwenye kampeni hawsmptiTarehe 28 siyo mbali mkuu!
Kama unafikir Lisu ana kura za kumshinda Magu, subiri ujionee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ni nuksi kea taifa na hana kura hata akiwapa watoto. Vipalata anaowa Somba kwenye kampeni hawsmptiTarehe 28 siyo mbali mkuu!
Kama unafikir Lisu ana kura za kumshinda Magu, subiri ujionee
Hata Membe alikuwa anafikiri yuko juu sana! Alipifika field kakuta kina kirefu, kaamua kama ni aibu basi!Field ccm ni sawa na shobo ukiona magufuli chato hawamtaki ujuwe amekwisha
Basi anza kusheherekea kabisa ushindi wa Lisu kuwa rais wa Amsterdam.Magufuli ni nuksi kea taifa na hana kura hata akiwapa watoto. Vipalata anaowa Somba kwenye kampeni hawsmpti
Lissu ni taifa kubwa ukiona magufuli kaufyata juwa hamuweziHata Membe alikuwa anafikiri yuko juu sana! Alipifika field kakuta kina kirefu, kaamua kama ni aibu basi!
Ni raisi wa Tanzania Magufuli hana lake kwisheneyBasi anza kusheherekea kabisa ushindi wa Lisu kuwa rais wa Amsterdam.
Rais wa tz ni Magufuli. Hutaki kufa!
Kumbuka bado siku 11 tuwang'oe hizi ngebe zenu.
Yeye anakuwa live kwenye tv mwenzake anakuwa live field na wapigakura.Uzuri ni kwamba Magufuli anakuwa live kwenye TV zote kwaiyo watu wa Kilimanjaro, Mtwara, Kundi, Manyara na Ruvuma nadhani, waingie YouTube kumsikiliza huko.
Ni sawa ujipage moyo ili hicho kisukari kisipande kwa kasi. #RAIS NI MAGUFULINi raisi wa Tanzania Magufuli hana lake kwisheney
Ndoto Za MchanaTunamtakia Magufuli afya njema. Tumshinde akiwa timamu
Vilaza Kazini HahahaaKabisa mkuu apigwe akiwa mzima kabisa. Akiwa na uwezo wa kukoroma mara 4 akiomba tumletee Gwajima.
Ukisikia Lisu anamuabisha mfalme ndiyo mwaka huu. Magufuli ataaibika kweupeee.
Hapo kwa bangi zao watakuja kukwambia eti LISU atapigiwa kura na wana CCM wanaomchukia JPMWakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, CHADEMA walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi CHADEMA wata lalamika wameibiwa kura.
BAVICHA ebuu Msikilizeni Huyu MTU Wa mungu mnaweza Jifunza Neno NayambafuView attachment 1603014
Watueenye hekima.
Wachagga watampopoa mawe. Hivi anaenda kuwambia nn? Au anaenda kusema Nileteeeeeni Kimeiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂Kuanzia tarehe 20 atakuwa Mkoa wa Kilimanjaro baadae Arusha, Manyara na tarehe 26/10/2020 atakuwa Dodoma tayari kwa kupiga kura tarehe 28/10/2020.
Mmeshikwa pabaya sana !Mwenye saccos Yake hawezi kuomba Mungu ambariki maana Ana mke na kimada Mungu hapendi wazinzi. Hawezi ibariki chadema maana kiongozi wake siyo mwadilifu.
Waliopanga ratiba ya Lissu kumalizia Dar ni Wenzetu hao ndivyo maombi yetu yalivyokuwa Dar itarindimaCHADEMA wameisha idhoofisha CCM tayari, unakimbia jiji ambalo linahadhi 80% ya uchumi wa nchi
Kwani wakati wa uzinduzi ilikuwaje hadi Dar ikashindwa kurindima mkuuWaliopanga ratiba ya Lissu kumalizia Dar ni Wenzetu hao ndivyo maombi yetu yalivyokuwa Dar itarindima
Nileteeni Gwajmaaaaaaaa!Kabisa mkuu apigwe akiwa mzima kabisa. Akiwa na uwezo wa kukoroma mara 4 akiomba tumletee Gwajima.
Ukisikia Lisu anamuabisha mfalme ndiyo mwaka huu. Magufuli ataaibika kweupeee.